Wanaume type hii nijakamoyo walahiiiiiiiiiiiiiii.

Wanaume type hii nijakamoyo walahiiiiiiiiiiiiiii.

lara 1 ,kama uko siriaz nakuachia muda ukufunze.

Mkuu Eiyer mimi kwangu magumu yakinikuta ndo yananikomaza nasonga mbele upande huohuo! Giza likizidi ndo najua kunakuchwa mda si mda!

Tuache unafiki na uzandiki! KUZALIWA MZURI NI BAHATI ILIYOJE NA NI UPENDELEO KUTOKA KWA MUNGU!!! It means Mungu kakupa more than the rest! Hata jamii inawapendelea sanaaa watu wazuri! Na kubahatika kuwa Mzuri ni jambo zuri na lililo jema! Kila mtu akizaa mtoto anawish awe na mzuri mwenye muonekano wa kuvutia!

Sasa sababu sisi sio wazuri kama tunavotaka haitupi mandate ya ku ruin the Mass Parade ya WALIOBAHATIKA NA KUPENDELEWA NA GIFT YA KUZALIWA WAZURI!!!!!!!! Kupondaponda uzuri wa watu sio ishu sio mpango! Ni kujifariji tu kuwa kawaid au wabaya its not that bad!

Mimi sio mzuri ila mtu mzuri nampa his credits due!!!!! Wote tungekuwa na choice tungechagua uzuri sema ndo hivooo HATUKUBAHATIKA!!!!!!!!!

Mliobahatika Mko Juu Kama Povu La Bia!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom