Nicole
JF-Expert Member
- Sep 7, 2012
- 4,274
- 2,523
- Thread starter
- #121
amu huyo ni sample tu...ngoja nibadili pic bac...je nikimweka jigga???
Mwanaume dizaini hiyo hata ile nafasi ya kuongea na mimi hana achilia mbali contacts sijui atazipata wapi?
Ni uporoto mtupu
mwanaume kukaa makalio wazi
mwanaume kusuka nywele
mwanaume kutoboa masikio
kuvuta vitu vya ajabu.
Hata jamii inamshangaa
really gentleman hawi hivyo.
Kweli Ciello ni jakamoyo hao ni wa kuwatupa kuleeee
Last edited by a moderator: