Wanaume type hii nijakamoyo walahiiiiiiiiiiiiiii.

Wanaume type hii nijakamoyo walahiiiiiiiiiiiiiii.

hayo usemayo mama mchingaji nakubaliana nawe. ila ishu hapa ni mwanaume mwenye mvuto na mvuto less yupi bomba kuwa naye, kweli hatukujiumba lakini tofauti hiyo ipo na ina impact yake kwenye mahusiano ya kileo....

is he a piece of furniture????
Mvuto kwangu mimi ni brain, confidence, uelewa na kujali!
 
hahahahah msinifanyie hivyo bana mmeelewa mada sema mnanidiss bila sababu...ila hilo kiss ni kwenye forehead kweli ama kwenye lips???
Actually ni 20 yrs difference if she is 22. Thanks for the kiss on my forehead! LOL
 
​
Bora mlioamua kuolewa na Mababuuuuuuu,Tusubiri kukaa Eda,Lkn hii sampuli ni sawa na kuitundika roho yako juu ya feni,Wazuri wa sura ila MTIHANI Bora uwe na Mwanaume hana hata Meno ya mbele kuna watu wanalia juu yao,Acha tujikaze tu wenzanguu,Kuna watu wanadiliki Kuwahonga tu ilimradi wawe nao wanageuzwa mama zao kama wamekuja shule na sisi ndio walimu waooooo,Mapenzi ni kupendana nyote wawili usikae na mtu kisa ana mvuto au mzuri sana Nasema hivi ukijiona wewe Mzuri UZURI KWA WAZAZI WAKO,Hapa kwangu mahaba zaidi na sio kuuziana sura tukienda hivi mjini tutaheshimiana Ila kwa wale wapenda JAKAMOYO MZIGO HUOOOOOOOO.



pipoooooz....as usual kitu cha kudownload hiki: kipi bora mwanaume mwenye mvuto ama mvuto less?
binafsi navutiwa na mwenye mvuto ila na kichwani awe smart ,siyo kitu mwake afu upstairs balaa .....karibuni kwa maoni


​
Life is about choices .Rihanna alivyopigwa na brown baba yake Rihanna ali issue statement akasema Rihanna anastaili kupigwa ,unajuaje labda Rihanna anapenda ugomvi.kunawatu hawapendi amani kabisa bila ugomvi siku haiendi.Utakuta mtu anapenda mwanaume Mlevi kutwaaa.Self esteem and insecurity play bigger part in our lives.Hivi wale wanaojuchubua unasemaje ?ni insecurity ngozi Yao haifai .Duniani kuna mambo
 
Hahahahaaaaaaaaaaa! usharobaro una watu wake wanaoupenda atiiii!
 
gumzo tu hili Kiranga....jadili mada plz...

Mie mwanamme mzuri ntamjulia wapi, huyo mwanamke mzuri tu naambiwa "beauty is in the eye of the beholder".

That said, presumably, using natural symmetry to discern kuna

1. Wazuri wenye akili na heshima
2. Wazuri wenye akili wasio heshima
3. Wazuri wasio akili wenye heshima
4. Wazuri wasio akili wala heshima
5. Wabaya wenye akili na heshima
6. Wabaya wenye akili wasio heshima
7. Wabaya wasio akili wenye heshima
8. Wabaya wasio akili wala heshima

Take your pick. Mind the competition.

Na hapo hatujaongelea mlinganyo wa dada yetu wa Ohio St kuhusu mambo ya fwedha. Kichwa kitauma!
 
Binti yangu Ciello una mambo wewe! Sina cha kuongeza zaidi ya kukupa kudos kwa kuliona hilo. Kuolewa na mababu siyo sababu ya eda. Maana kuna wengine wameolewa na vijana wadogo na wakawa wajane. Kufa na kuishi ni mipango ya Mungu.
Mke wangu sio mzuri kiivyo,lkn up stairs ni noma,rafiki yangu anajuta kwa kuona msanii mrembo wa maiigizo ya kina kanumba.
 
ndo mana miye nikasema awe na mvuto physicaly plus awe smart, hizo brain, confidence, uelewa na kujali while he is mvuto less haisaund 4sure....
is he a piece of furniture????
Mvuto kwangu mimi ni brain, confidence, uelewa na kujali!
 
Hahahahaaaaaaaa! Naunga mkono hojaaaa! Japo kwenye kujuana 1st time sura ndo mpango mzima! We mdada ukiitwa kule si lazima ucheki na kina nani? Ukiona sura zao zinasoma ndo unaibuka!!!!! Ukiona michosho ndo huendi hata kwa sumaku!
 
Mie mwanamme mzuri ntamjulia wapi, huyo mwanamke mzuri tu naambiwa "beauty is in the eye of the beholder".

That said, presumably, using natural symmetry to discern kuna

1. Wazuri wenye akili na heshima
2. Wazuri wenye akili wasio heshima
3. Wazuri wasio akili wenye heshima
4. Wazuri wasio akili wala heshima
5. Wabayai wenye akili na heshima
6. Wabaya wenye akili wasio heshima
7. Wabaya wasio akili wenye heshima
8. Wabaya wasio akili wala heshima

Take your pick. Mind the competition.


Dah hii list hii....lol
wabaya wenye akili na hesima wengi mno 'wanagombaniwa na kuolewa'....
 
Dah hii list hii....lol
wabaya wenye akili na hesima wengi mno 'wanagombaniwa na kuolewa'....

I thought we are talking about men.
BTW Ciello au lara 1, vipi mwanaume mwenye ulemavu can even think of marrying him? Mfano mlemavu wa mguu au macho?
 
Last edited by a moderator:
1..wazuri wenye akili na heshima ndo mpango mzima
Mie mwanamme mzuri ntamjulia wapi, huyo mwanamke mzuri tu naambiwa "beauty is in the eye of the beholder".

That said, presumably, using natural symmetry to discern kuna

1. Wazuri wenye akili na heshima
2. Wazuri wenye akili wasio heshima
3. Wazuri wasio akili wenye heshima
4. Wazuri wasio akili wala heshima
5. Wabaya wenye akili na heshima
6. Wabaya wenye akili wasio heshima
7. Wabaya wasio akili wenye heshima
8. Wabaya wasio akili wala heshima

Take your pick. Mind the competition.

Na hapo hatujaongelea mlinganyo wa dada yetu wa Ohio St kuhusu mambo ya fwedha. Kichwa kitauma!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom