Wanaume type hii nijakamoyo walahiiiiiiiiiiiiiii.

Usiku saa hizi twatishana banaaaaaaa! uuuuuuwiiiiiiii! Ujue ukiwaza negative ya kitu ukitakacho hutofanya kitu! Akimwagiwa nitajua la kufanya! Ila for now i aint changing my requirement ya good looking! Dont underestimate looks ndo zina influence how your future generation will look like!
Vipi kama ni "good looking" lakini hana pesa?

I wanna give my daughter what my mama gave me for free!! LOL!

Wow! You already have a daughter? Naomba nikufanyie exclusive interview ili ufunguke zaidi. lol
 
Vipi kama ni "good looking" lakini hana pesa?

Wow! You already have a daughter? Naomba nikufanyie exclusive interview ili ufunguke zaidi. lol

Hahahaaaaaaaaaaa! Itategemea! Mtu anaweza kuwa hana pesa for now ila ni born hustler! Anajua kuzisaka zilipo, na ni jembe la ukweli lina potential to make things happen! Hapo burudaaaaani! Hata mtaji namkopesha ikibidi!

Ila kuna jitu lina pesa ya mboga na kiusafiri basi anajionaje Lodi Lofa!!!!!!! Kuridhika kwingiii, mashauzi meengi kisa kiajira cha kampuni!!!!!! Mimi mtu kama huyu ambae hanaaa! Na hajielewi kama hana simtaki kabisaaa! Coz unaolewa akiwa na Corrolla mpaka watoto wanaenda chuo bado mko kwenye corolla tu!

I like a challanging guy that can make shit happen! Yaani with him tomorroe is a surprise! Sio kesho najua michosho inaendela! (Hata mimi binafsi bonge ya Hustler!)
 
Usikoroge mada na kuweka assumptions nyingii kama Zito na Jully!

Ishu iko hivi! I am single and horny! Niko kwa semina! This brilliant guy anakuja tunaongea mawili matatu! I find his charm quite amusing na upeo wake kind of sexy! Im turned On! Katika story we hit it off! Hakuna promises wala strings attached!

Sasa kigumu kuelewa kipi hapo mkuu EMT!?

Kwa maana hiyo basi sura ni irrelevant.

Kwamba if the guy is brilliant, charm, amusing, sexy, and good upstairs, then you're off to bed with him regardless of how pretty his face is.
 
Mwanaume Mgumu Kuelewa Mwepesi Kusahau!!!!!!!!!!! NIMESEMA SURA NI SOURCE OF HAPPINESS!!!!!!! Upo hapo? So bila sura that quest for happiness haiwezi kukamilika! Nadhani hapo tumerudi on same page? Lete hoja hizo!

You mean sura ni source ya happiness regardless of how pretty or bad it is?
 
no sura ni relevant coz kusema alikuwa hot ili-include package yote,sura ,brilliant,charm,sexy plus na huko kuwa gud upstairs
Kwa maana hiyo basi sura ni irrelevant.

Kwamba if the guy is brilliant, charm, amusing, sexy, and good upstairs, then you're off to bed with him regardless of how pretty his face is.
 
Kwa maana hiyo basi sura ni irrelevant.

Kwamba if the guy is brilliant, charm, amusing, sexy, and good upstairs, then you're off to bed with him regardless of how pretty his face is.

Sura irrelevant kivipi wakati anakuja kukuongelesha alivaa MASK? Sura ndo ilitangulia ila kilicomturn on pamoja na sura ni charm na brilliance!

The looks bought him time kudesplay hio charm na briliance bila hivo asingepewa hata 1 minute ya kusema chochote!
 
mimi nashindwa kuelewa binti awe mrembo na mchizi pia awe mrembo cjui inakuwaje .... maana mrembo ni mrembo tu haijalishi ni wajinsi gani ......
 
Hahahaaaaa! Haiwezekaniki! Times Zinachange na Jamii Nzima! One person hawezi kuzuia changes! The only thing you can do ni kuignore the changes kuwa hazipo ila zipo! Eventally things will fall apart on you kama Okonkwo kwenye Things Fall Apart by Chinua Achebe!

The best thing ni kuchange with time! Kama jamii imechagua kuphase out vitu flani falani in these new times ni heri kuadapt fastaaa kuliko kuwa stuck on the past!

Hapana. You can't ignore the changes. Hukunielewa kabisa.

Sikusema kuwa you have to stop the changes. In fact you can't.

Nina maana kuwa kunapokuwa na change usirukie tuu kubadilika simply because others are doing so.

Kwa maana nyingine usiende na muda, bali muda uende na wewe.

Vinginevyo, the time will control you, rather rather than you controlling the time.
 
Kaunga big up umenena shosti wangu.

hapa watu wanataka kutuonyesha sijui mwanaume mweupe wa sura na tatoo basi ndo uzuri. mbona huyu anaonekana ni msanii tu wa huko america?? kujichora huko ni kawaida yao kama sehem ya kuvutia wateja lkn hakuja mfanya kuwa mzuri.

istoshe uzuri wa mtu uko suran tu?? kama ndivyo baasi wengi wetu ni wabaya lol! ila naamin uzuri ni package ama uliyosema na ni ile ambayo kwakuwa nayo inafanya maisha yako yawe na furaha.

leo hii ukiniuliza kwann umeolewa na gy nitakwambia kwasababu ndie mwaname mzuri kuliko wote. ila si kweli kwamba yeye ndiye mzuri kuliko wote bali yye amewazidi wenzie kwa kuwa anapossess ile package niliyoitaka na hivyo kunifanya niwe na furaha.
safi sana, uzuri wa mtu ni tabia, asikwambie mtu, je kuna faida gani kuwa na mwenzi wako ambaye either ni mme/mke or g/boyfriend ambaye ni mzuri kwa sura, halafu anakuwa na tabia mbovu kupindukia kwa mfano kama ni mwanaume au kijana basi kila mwanamke hapo mtaani kwenu yeye ameisha pitia au kishapiga , usiseme hg wako ndio chakula ya karibu na yeye unapokuwa haupo kwa ujumla ni mchafu wa tabia, sidhani kwa mtu mwenye akili za kawaida tu atampenda mtu huyu hata km ni mzuri kama malaika, kwa hivyo. Napenda sana kuwaasa wale wenzangu na mimi ambao wanapenda kuwa na vitu vikali ( watoto wa mjini hupenda jina hilo) ambavyo wakipita navyo basi watu wote shingo km panga boi wawe makini, kwani wahenga walisema" ukichamba sana ,mwishowe...........'' pia "' mchangua nazi upata .........." Hivyo uzuri wa mtu uko katika full package yenye vitu vingi sana lkn da most important of all ni '' TABIA" hata marehemu baraka mwishehe lile gwiji la mziki toka kule milima ya ulurugu lilimba kwamba '' UZURI WA MTU NI TABIA''
 
Hapana. You can't ignore the changes. Hukunielewa kabisa.

Sikusema kuwa you have to stop the changes. In fact you can't.

Nina maana kuwa kunapokuwa na change usirukie tuu kubadilika simply because others are doing so.

Kwa maana nyingine usiende na muda, bali muda uende na wewe.

Vinginevyo, the time will control you, rather rather than you controlling the time.

ITS A FACT NO BODY CAN COTROL THE TIME!!!!!!!! Ww are all Victims of Time!!!!!!! Huko kwingine ni kujipa moyo tu!
 
hahahah naelewa bt kwa mtindo huu hakuna mwanamke jasiri atakayejitokeza hapa jf kuanika mambo yake...mnawatisha waoga bt kwa sie wengine its ok......

Unless ni mwanamke ambaye siyo consistency kwenye views zake, sidhani kama ataogopa kujitokeza.

But don't get me wrong though. Everyone is entitled to change his/her view on a certain issue.

Lakini ukisema when and why you have changed your views, you will be appreciated.

ila ukwel unabaki palepale men wenye mvuto wanuzika kirahisi kuliko mvutoless...other features zinakuwa ka chachandu tu....

Now, you're bringing my favourate topic: ATTRACTION. Hapa ndipo watu wanapochanganya madesa halafu baadae wanaanza kulia.

Nikuulize swali very simple: You go out. You meet two guys. One is very good looking utadhani anakojoa mirinda vile. He has a pretty face, probably great body too. But he is not that really entertaining; He is a big arrogant (of course, he know he has a pretty face), unruly, boring, bossy, pompous, not making you laugh, enjoy the night and blah blah.

The second guy is alright in the looks; not really good looking, does not have a pretty face, ana body ya kawaida tu. But he has got this great personality. Very humble, confident in himself, charming, trusting, intelligent, keen, impartial, he has got some very good listening skills, attentive, etc, that he keeps you laughing and engaged all night to the extent ya kumsahau hata rafiki yako lara 1 aliyetoka nae.

Kati ya hao wawili ni yupi ataku-attract na kuwa tayari kumpa namba yako for some further exclusive conversations? Hili swali ujibu wewe na siyo lara 1. lol
 
Hahahaaaaaaaaaaa! Itategemea! Mtu anaweza kuwa hana pesa for now ila ni born hustler! Anajua kuzisaka zilipo, na ni jembe la ukweli lina potential to make things happen! Hapo burudaaaaani! Hata mtaji namkopesha ikibidi!

Ila kuna jitu lina pesa ya mboga na kiusafiri basi anajionaje Lodi Lofa!!!!!!! Kuridhika kwingiii, mashauzi meengi kisa kiajira cha kampuni!!!!!! Mimi mtu kama huyu ambae hanaaa! Na hajielewi kama hana simtaki kabisaaa! Coz unaolewa akiwa na Corrolla mpaka watoto wanaenda chuo bado mko kwenye corolla tu!

I like a challanging guy that can make shit happen! Yaani with him tomorroe is a surprise! Sio kesho najua michosho inaendela! (Hata mimi binafsi bonge ya Hustler!)

Hii inakingana na ile thread yako ya kuwa mwanaume ni pesa.
 
gfsonwin unafikiri hata ni swala la age? Anyway maybe in a way. Lkn mimi naona zaidi ni swala la sifa (kwa watu wa nje). Ndio maana utetezi wao zaidi ni "utatembeaje naye barabarani". Ni kuishi kwa kuogopa mitazamo ya watu zaidi. Kwa TZ yetu, wanaojiita HB ni wachache say 20%, kina Ongala desgn ni say 12% the rest (78%) ni watu wa kawaida ambao sidhani kama utamficha ndani kama wanavyowaficha walemavu.

Halafu, Ciello pamoja na kuimba kuhusu looks lkn brains ni kitu kinachomvutia ndio maana EMT kamkomalia, wote wamekubali brains has to be in the package; hakuna atakaye last na A Dumb HB; so in a way Mvuto ni added advantage lkn kipaumbele ni brains!
 
Last edited by a moderator:

umesema kweli sir Kaunga.
binafsi huwa naamin kama mtu anatafuta mume basi hatamchagua ambaye ni dumb, ama mke kadhalika basi criteria zetu tungeziweka hata kwenye uchaguiz wa bf's ingekuwa vyema sana. unakuta mtu anachagua bf ama gf mzuri tu wa sura mengine haangalii, halafu anapofikia kutaka life patner ndo anaanza kuhangaika. kwann mtu asichague mapema kile ambacho anakitaka and aki-mould vile atakavyo yeye??
 
Last edited by a moderator:
Hahahah EMT bana ,the second guy ,ila lets say mtu 2mekutana kwa road tu in less than 2mns wadhan kipi kitanifanya nimpe namba? Hayo usemayo inaaply pale kunapokuwa na muda wa kumingle na huyo second guy bila kuintend so in a way napata chanc ya kuziona hzo quality ulizomention
Unless ni mwanamke ambaye siyo consistency kwenye views zake, sidhani kama ataogopa kujitokeza.

But don't get me wrong though. Everyone is entitled to change his/her view on a certain issue.

Lakini ukisema when and why you have changed your views, you will be appreciated.

Now, you're bringing my favourate topic: ATTRACTION. Hapa ndipo watu wanapochanganya madesa halafu baadae wanaanza kulia.

Nikuulize swali very simple: You go out. You meet two guys. One is very good looking utadhani anakojoa mirinda vile. He has a pretty face, probably great body too. But he is not that really entertaining; He is a big arrogant (of course, he know he has a pretty face), unruly, boring, bossy, pompous, not making you laugh, enjoy the night and blah blah.

The second guy is alright in the looks; not really good looking, does not have a pretty face, ana body ya kawaida tu. But he has got this great personality. Very humble, confident in himself, charming, trusting, intelligent, keen, impartial, he has got some very good listening skills, attentive, etc, that he keeps you laughing and engaged all night to the extent ya kumsahau hata rafiki yako lara 1 aliyetoka nae.

Kati ya hao wawili ni yupi ataku-attract na kuwa tayari kumpa namba yako for some further exclusive conversations? Hili swali ujibu wewe na siyo lara 1. lol
 
Last edited by a moderator:
Miye nimesema am in favor ya full package .i.e looks and brains among other qualities!!
gfsonwin unafikiri hata ni swala la age? Anyway maybe in a way. Lkn mimi naona zaidi ni swala la sifa (kwa watu wa nje). Ndio maana utetezi wao zaidi ni "utatembeaje naye barabarani". Ni kuishi kwa kuogopa mitazamo ya watu zaidi. Kwa TZ yetu, wanaojiita HB ni wachache say 20%, kina Ongala desgn ni say 12% the rest (78%) ni watu wa kawaida ambao sidhani kama utamficha ndani kama wanavyowaficha walemavu.

Halafu, Ciello pamoja na kuimba kuhusu looks lkn brains ni kitu kinachomvutia ndio maana EMT kamkomalia, wote wamekubali brains has to be in the package; hakuna atakaye last na A Dumb HB; so in a way Mvuto ni added advantage lkn kipaumbele ni brains!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom