Kuna Mambo sisi wanaume lazima tuyaache na tujue jinsi ya kuwa wasafi.
1. Mtu soksi zinanuka kwa sababu ya kuvaliwa kwa muda mrefu haoni kama ni tatizo
2. Hotelini mtu anasukutua na kutemea mate au kohozi kwenye sink linalotumiwa na watu wote. raha mustarehe
3. Una Soksi ina bonge la tobo kwenye kisigino na kwenye dole gumba lakini bila ya aibu unaivua mbele za watu.
4. Unaingiza dole lako kwenye pua na kutoa Kamasi au ugando wa kamasi bila ya wasiwasi mbele za watu
5. Unafanya kazi Gereji hufui nguo zako hadi tofauti kati yako na Grease za gereji inakuwa sawasawa na Ziro
6. Unajijua una kikwapa lakini kunyoa nywele zako za kwapani inakuwa ni mgogoro mkubwa.
7. Unakula kitimoto, unakunywa bia na vitu vingine kadha wa kadha,lakini mswaki kwako mwiko!
8. Huwezi kuoga mpaka ujue unakwenda kwenye kideti kipya.
9. Domo lako unajua kwamba linanuka lakini wewe ndiyo kinara wa kutaka kunong'oneza watu.
Hizi ni tabia ambazo baadhi yetu wanaume tunazo ila wengine wanazitetea eti ndiyo "udume" jamani tuwe wasafi kwani usafi nao ni sehemu inayochochea mapenzi.

dah sjui nikupe nini wewe??
ahh umeongea fresh jaman...lijitu linanuka kwapa utasema kaficha tope la choo
ahh kuna njemba moja iyo olevel ebwna ehh sjapata mfanoe yule bwana alikuwa anapenda kunihug kila akiniona na akishanihug anataka aninongoneze et ata masomo mema ye anataka anisemee kisikion sasa BALAA LAKE ILO KWAPA jaman ahh yaan akipanua mkono utasema kuna jalala limefunguliwa...na izo njino zinavyonuka jaman,...dahh afu anapenda kuzungumza chngereza mda wote bas watu wakawa WANAMPONDA AHH HAUNA LOLOTE MWINGEREZA GAN DOMO LINATEMA..raha ya chngereza domo livutie..

hapo kwa red ningeomba ufafanuzi yakinifu.....huwa pananichanganya sana.....

Kuna watu kwa asili wana kikwapa na kikwapa ni ugonjwa wa ngozi na wataalamu wa magonjwa ya ngozi dermatologists wanajua jinsi ya kushughulika nalo. Tatizo kuna watu wanajua kabisa wana kikwapa lakini kwa vile wanajidai wako Bize basi kunyoa ni mpaka watu wawe wameshapiga sana chafya kwenye daladala.hapo kwa red ningeomba ufafanuzi yakinifu.....huwa pananichanganya sana.....
Wewe katika yote umeona la kikwapa tu?
kwasababu yakiwa marefu sana yanachangia harufu ingawa WENGINE UTAKUTA ANA LINYWELE ILOOO LAKIN WALA HALITEMI...ahh lakin sasa ufuge jaman..yaan mwngne asubui anaomba kabsa BANIO LA NYWELE LA MKEWE APATE KUBANA AYO MANJUNJU...manake mpk shat linafanya kumbana jaman khaaa puuh stak mie!!!!!!!
Hiyo nasikia ni dawa ya kuua mbuKuna Mambo sisi wanaume lazima tuyaache na tujue jinsi ya kuwa wasafi.
1. Mtu soksi zinanuka kwa sababu ya kuvaliwa kwa muda mrefu haoni kama ni tatizo
2. Hotelini mtu anasukutua na kutemea mate au kohozi kwenye sink linalotumiwa na watu wote. raha mustarehe
3. Una Soksi ina bonge la tobo kwenye kisigino na kwenye dole gumba lakini bila ya aibu unaivua mbele za watu.
4. Unaingiza dole lako kwenye pua na kutoa Kamasi au ugando wa kamasi bila ya wasiwasi mbele za watu
5. Unafanya kazi Gereji hufui nguo zako hadi tofauti kati yako na Grease za gereji inakuwa sawasawa na Ziro
6. Unajijua una kikwapa lakini kunyoa nywele zako za kwapani inakuwa ni mgogoro mkubwa.
7. Unakula kitimoto, unakunywa bia na vitu vingine kadha wa kadha,lakini mswaki kwako mwiko!
8. Huwezi kuoga mpaka ujue unakwenda kwenye kideti kipya.
9. Domo lako unajua kwamba linanuka lakini wewe ndiyo kinara wa kutaka kunong'oneza watu.
Hizi ni tabia ambazo baadhi yetu wanaume tunazo ila wengine wanazitetea eti ndiyo "udume" jamani tuwe wasafi kwani usafi nao ni sehemu inayochochea mapenzi.
hahahaha Rose umenichekesha sana,na hizo jino hukawii kuona mabaki ya maharage na mchicha lol
vp kakugusa nin?
unayo?..ntakupa banio langu la nywele usijali...
dah sjui nikupe nini wewe??
ahh umeongea fresh jaman...lijitu linanuka kwapa utasema kaficha tope la choo
ahh kuna njemba moja iyo olevel ebwna ehh sjapata mfanoe yule bwana alikuwa anapenda kunihug kila akiniona na akishanihug anataka aninongoneze et ata masomo mema ye anataka anisemee kisikion sasa BALAA LAKE ILO KWAPA jaman ahh yaan akipanua mkono utasema kuna jalala limefunguliwa...na izo njino zinavyonuka jaman,...dahh afu anapenda kuzungumza chngereza mda wote bas watu wakawa WANAMPONDA AHH HAUNA LOLOTE MWINGEREZA GAN DOMO LINATEMA..raha ya chngereza domo livutie..
Hao wanaume wenye tabia hizo ni wa huko kwenu,.....ambako hakuna maji,sabuni,maduka ya kuuza miswaki na dawa,hakuna leso,...etc,..huku kwetu hayo mambo hayapo_na hao kina Preta na Rose1980 wanao kussuport nafikiri mnaishi nao huko...waambie waje kwetu wataona tofautiKuna Mambo sisi wanaume lazima tuyaache na tujue jinsi ya kuwa wasafi.