Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 20,320
- 50,243
Karibu mamito,unanifurahisha mdada coment zako tuuu....toa toa mama tupe kitchen party bila vyombooo.....
Karibu mamito,unanifurahisha mdada coment zako tuuu....toa toa mama tupe kitchen party bila vyombooo.....
tena kujifunika mpaka akiwa na mumewe utafikiri yupo nyumba ya ibada kumbe yupo chumbani...umekaa na mumeo kama kakaa na roboti kisa uomekane wife material ...sasa ngoja akakutane na wakuchangamkia fursa wanazitia p.... Kwenye kisaani chachai wanamchanganyia karafuu na iliki akikumbuke mtekenyo na muwasho alioupata humuoni tena .umekaa nae mwenzio anamuwaza salma..kumbe huna changamoto ni shidaaaaah ......hongera kapiece kwa kumuhandle shemeji yahn hata akitafuta michepuko kilanga chake mwenyewe tu...Mke muda wote yupo serious hajanuna lkn hacheki wa hatabasamu, muda wote ni kujifunika funika tu na kuita baba fulani, mwaka wa Tisa Huu lakini mume namwita sweet na baadhi ya watu hudhani ndo jina lake,
Akienda kwa mchepuko anabebwa mgongoni anakandwa pumbu anaogeshwa kwa asali na mchele we kaa kuita baba fulani eti usije onekana malaya mjini hapa k zenyewe kibaooo
Uko poa ishi maisha yako na mmeo atakufurahia.i do like that kind of free life and openness.Wengine tunaonekana km mapepe Malaya shankupe lkn ulokole ukizidi napo nadhani ni mbaya, navyoishi na shemeji yenu ni full mburudiko kufungulia mziki nikaanza kukata mauno tena nikiwa nusu uchi kawaida sana kuruka sarakasi km za wacheza sebene kawaida sana utani utani mwingi kukuta nakimbizana nae kwenye nyumba huku tunarushiana midoli kawaida hata saiv nimetoka kufanya hilo zoezi, nauishi uhalisia wangu mimi siigizi na ninaenjoy asante audacious
Unaweza mpa na akatoka lkn mimi si mtu wa ulokole niwe mkweli tu na sifanyi ivo kwa maigizo napenda kuwa ivo hata wanyama wanacheza sana mf simba dume na jike kukuta wanagalazana mavumbinitena kujifunika mpaka akiwa na mumewe utafikiri yupo nyumba ya ibada kumbe yupo chumbani...umekaa na mumeo kama kakaa na roboti kisa uomekane wife material ...sasa ngoja akakutane na wakuchangamkia fursa wanazitia p.... Kwenye kisaani chachai wanamchanganyia karafuu na iliki akikumbuke mtekenyo na muwasho alioupata humuoni tena .umekaa nae mwenzio anamuwaza salma..kumbe huna changamoto ni shidaaaaah ......hongera kapiece kwa kumuhandle shemeji yahn hata akitafuta michepuko kilanga chake mwenyewe tu...
Shangaa na wewe maisha gani hayoHivi wale wanawake wanaoogopaga wanaume wao wanaweza kweli kuleta maujanja ndani? yani kama hivyo avae pichu tu aanze kukata mauno? nawaoneaga huruma naona kama hawaenjoy maana bby usimpomfanyia ujinga ujinga mnaishije
Yapyap asanteeUko poa ishi maisha yako na mmeo atakufurahia.i do like that kind of free life and openness.
Ha ha ha dah mkuu nilikuwa na stress Leo umeziondoa zoteUnaoa mwanamke yuko serious km boardgurd wa gaddafi bna kucheka shida
Hivi wale wanawake wanaoogopaga wanaume wao wanaweza kweli kuleta maujanja ndani? yani kama hivyo avae pichu tu aanze kukata mauno? nawaoneaga huruma naona kama hawaenjoy maana bby usimpomfanyia ujinga ujinga mnaishije
Kuwa mchepuko mke mlokole ni kutafuta mabalaa . Wife akianza " Holy Spirit fire the other woman who consumes my marriage"Hao wanawekwagwa ndani then MTU anatafuta kijimchepuka cha kumpunguzia stress.
Mchepuko unapiga kanga moko ndani au kimini cha kufa MTU hata kama ilikuwa unapita tu kusalimia lazima uombe game mwishowe unachelewa kurudi nyumbani bila kupenda..wataanzakuhisi umelogwa.
Hata wanaume wapo wewe nenda kama ni pub unakuta kimbaba kimenuna kinaangalia huko mke anatabasamu mwenyewe au nasimu hicho kibaba uso wa mbuzi unategemea mke afanye nini!Hakuna mwanaume asiyependa vitu flan kama vya kijinga jinga kutoka kwa mkewe..sasa kama mke at a pretend kama mwalimu wazamu unategemea nini kama sio kuwa na mchepuko..
Big up kapeace..shemela anabahati hahah
Kumbe anaekuloga ni mkeo hakufanyii mautundu ndani, kwenye mapenzi hakuna ulokole aisee au uboss, kuna msemo naambiaga rafiki zangu "kuwa boss ofisini mal**ya chumbani".Hao wanawekwagwa ndani then MTU anatafuta kijimchepuka cha kumpunguzia stress.
Mchepuko unapiga kanga moko ndani au kimini cha kufa MTU hata kama ilikuwa unapita tu kusalimia lazima uombe game mwishowe unachelewa kurudi nyumbani bila kupenda..wataanzakuhisi umelogwa.
Lete kitchen part mama baba wenyewe sasa atakwambia sitaki kelele nimechoka hapo tufanye nini kungwi?Mke muda wote yupo serious hajanuna lkn hacheki wa hatabasamu, muda wote ni kujifunika funika tu na kuita baba fulani, mwaka wa Tisa Huu lakini mume namwita sweet na baadhi ya watu hudhani ndo jina lake,
Akienda kwa mchepuko anabebwa mgongoni anakandwa pumbu anaogeshwa kwa asali na mchele we kaa kuita baba fulani eti usije onekana malaya mjini hapa k zenyewe kibaooo
Yaasp km ukahaba wa chumbani ninao sana tu ulokole ulinishinda na wanawake wakilokole walionizunguka ni vilio vya kuchepuka daily kwa waume, lkn ulokole wa kanisani anauleta mpk kwa mume Leo bwana hajanibariki kukupa tunda wooooooiiiiKumbe anaekuloga ni mkeo hakufanyii mautundu ndani, kwenye mapenzi hakuna ulokole aisee au uboss, kuna msemo naambiaga rafiki zangu "kuwa boss ofisini mal**ya chumbani".
Mbaba mlokoleLete kitchen part mama baba wenyewe sasa atakwambia sitaki kelele nimecjoka nimechoka hapo tufanye nini kungwi?
Eeeh wanaogopa wakileta machejo wataulizwa na waume zao wamejifunza wapi, yani hawana hata utundu wa kumwambia mwanaume leo usijiguse nakushughulikia mimi wao wanachojua ni mguu pande mguu sawa kifo cha mende habari imetoka.Yaasp km ukahaba wa chumbani ninao sana tu ulokole ulinishinda na wanawake wakilokole walionizunguka ni vilio vya kuchepuka daily kwa waume, lkn ulokole wa kanisani anauleta mpk kwa mume Leo bwana hajanibariki kukupa tunda wooooooiiii