Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,141
- 159,060
Na wanammendea kweli kweli. Mie nimelinda hadi nimechoka kwakweli.Nampenda mpaka nahisi kama naibiwa...
Yaani sipati usingizi
Na wanammendea kweli kweli. Mie nimelinda hadi nimechoka kwakweli.Nampenda mpaka nahisi kama naibiwa...
Yaani sipati usingizi
Ila kama wangu atakuwa wangu..Na wanammendea kweli kweli. Mie nimelinda hadi nimechoka kwakweli.
Wory not, amefika kweli kweli.Ila kama wangu atakuwa wangu..
Sometimes i jus want to **** off these worries.
Nakupongeza kwa kulea mkwe.Wory not, amefika kweli kweli.
Kuwa proud umejuakuchagua mkwe.
Nipongeze nami kwa kulea kamani
Kwakweli ulete mwenyewe, wale panya wangu wasizinuse kabisa.Nakupongeza kwa kulea mkwe.
Ngoja nikuletee vitenge..ila zamu hii naleta mwenyewe.
Hahaha...sawa mkwe.Kwakweli ulete mwenyewe, wale panya wangu wasizinuse kabisa.