Wanaume tuwe wa kweli kwa hawa tunaowaita 'wife material'

Hongera sana naamini unaenjoy mno
Nafurahia uwepo wake hapa duniani kwa kweli Kapeace

Yaani huyu mwanamke ni malaya kitandani/chumbani/nyumbani

Akivaa kanga moko na kichupi cha rangi nyeupe ndani uwiiiiiiii!!

Harafu kifuani bado saa sita o'clock

Akianza kucheza/kukata kiuno huwaga nadata sana kwake kwa kweli

Kuna sehemu nyeti baadhi ya mwili wangu amegunduaga ndo huwaga anapenda kuzichezea aiseeee!!

Huwa najikuta nanyanyuka nacheza nae mdogo mdogo

Mara Paaaaaaah!!

IIiiiiiiiiii!!
 
Siwezi pendwa na wote mimi sio pesa, na siko ivo mkuu hiyo corny na foul mouthed hujanielewa tu story na uchangamfu wangu una mipaka yake, ulale unono
Unayafanya kwa muhusika tu huyo naye ndiyo wale mke lemba mchepuko mpaka mkorogo anatumia na vimini juu
 
Mie penye mziki utachezwa tu ss ni mme wangu nideke wapi kama kuna chakumchekesha nitampa tu utasikia utasutwa siku moja mambo yanasonga na ndiyo maana mkipishana ni dakika yameisha hatujazoea minuno kama jeshini
Ulweso
 
Vitu vingine ni akili ya nyongeza kwani mabikira wanavyo olewa si wajifunza humo humo anaye wafundishaga kuinua mguu nani! Kupika kwenyewe kila siku tunajifunza
Niliolewa sealed sikuchezwa unyago wala kufundwa niliolewa nikiwa mbumbu, haya mambo huwa natoleaga mfano wa wanyama wakihisi joto anapandwa na akipata uzito anaanda pa kushushia kiumbe chake na anazaa peke yake pasipo msaada na wanasurvive kwanini sisi tushindwe kuwa wabunifu, na kuutafuta umbea wa kuwalea waume zetu, tumekalia majungu tu mh huyo alishamtengeneza mtu wake kumbe ukijenga urafiki kuna ka mbinu kakitoto atakumegea nawe cheko la mume utalipata
 
Yaani mie ni mkimya fulani lakini hucheka watu wanauliza hivi huyu huwa anaongea nawambia mie nimkewe lazima aongee kwani alinipata vipi.
 
Back
Top Bottom