Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,632
- 9,445
.
Acha mambo ya Ulozi, Nchi IPO kweny Maombolezoo .Habari za mida hii? Sio wote wenye tabia hiyo ila asilimia kubwa Wana michezo hiyo,familia za kimasikini zina ushirikina mwingi mno utalishwa kila aina ya matakataka ya waganga.
Tena mwanaume ukiwa unajiweza kifedha kidogo tu Basi hapo ukoo mzima utakaa kikao kukuundia tume wakuteke ukifanya masihara unakuwa zezeta kabisa.
Kaka yangu mkubwa alikuwa very humble sasa hivi hataki kabisa kusikia habari za ndugu zake,juzi mama alimpigia simu kaka kuwa amewakumbuka wajukuu waende kumsalimia bibi yao lakini cha kushangaza kaka akasema hawezi kuleta watoto wake anaogopa mama yake atawaloga means mama ni mchawi..
Tuwe macho na hawa wanawake wa hali ya chini
Ubize gani? Mama amewaomba wajukuu wakamsalimie yeye ndio atoe maneno machafu hivyo?Usisingizie waganga, umaskini jamaa kaamua kua bize na maisha yake
Nchi yenyewe imejaa ushirikina dhidi ya coronaAcha mambo ya Ulozi, Nchi IPO kweny Maombolezoo .
Na ametoka familia ya kichungaji,dawa yake uyu ni maombi tuyaani mama amenilea hakuweza kuniloga leo akaloge wajukuu, yaani ina maana amesahau ule usemi unaosema kwamba mchawi mpe mwanao akulele
Kweli kabisa maana wanawake si wanasema hawawezi kuolewa wala kumpa penzi mwanaume asiye na hela, na sisi wanawake masikini wanaotegemea kuja kuchuma kwako tuwakwepe kama coronaHabari za mida hii? Sio wote wenye tabia hiyo ila asilimia kubwa Wana michezo hiyo,familia za kimasikini zina ushirikina mwingi mno utalishwa kila aina ya matakataka ya waganga.

😀😀