Habari za mida hii? Sio wote wenye tabia hiyo ila asilimia kubwa Wana michezo hiyo,familia za kimasikini zina ushirikina mwingi mno utalishwa kila aina ya matakataka ya waganga.
Tena mwanaume ukiwa unajiweza kifedha kidogo tu Basi hapo ukoo mzima utakaa kikao kukuundia tume wakuteke ukifanya masihara unakuwa zezeta kabisa.
Kaka yangu mkubwa alikuwa very humble sasa hivi hataki kabisa kusikia habari za ndugu zake,juzi mama alimpigia simu kaka kuwa amewakumbuka wajukuu waende kumsalimia bibi yao lakini cha kushangaza kaka akasema hawezi kuleta watoto wake anaogopa mama yake atawaloga means mama ni mchawi..
Tuwe macho na hawa wanawake wa hali ya chini