Wanaume tuwe makini na utoaji ruhusa

wanaume tafuteni weekend moja ya kutomba tuuuu siku nzima
 
Rafiki siku hizi kila saa mungu!!!! katika vitabu vyenu imeandikwa siyo wote wasemao.... watauona ufalme wa mbinguni. Wazungu walinena 'do not be holy than a Pope" kama makasisi na wachungaji mwendo mdundo sembuse mimi na wewe? Hakuna asiyemjua Mungu ila vikojoleo vikichachamaa akili inahama.
 
Wanaume sijui mna nini? hivi mna nini

Tatizo la wanawake wengi, wakishaambiwa nakupenda tyr wanaanza kuvuta hisia za kugegedwa!

We unadhani kati ya mwanamke aliyeolewa na mchepuko wake nani wa kulaumiwa kama c mwanamke? maana anajua fika kuwa tyr amishaolewa na yupo ndani ya ndoa kwa nn asikatae?
 

Hata hazrai kwangu kibuti kimuusu
 
Umeona enhee. Wanawake ni ni proffesionals katika michepuko. Hakuna mwanamke mjinga kiasi hiki. Unless kama alikuwa analipiza kisasi. Yaani alifanya makusudi
 
Kama wewe mwanaume unagegeda nje kwa nini mkeo naye asigegedwe na kupakuliwa kisavu cha kopo?
 

Hili nalo neno.. Angeenda home labda atoke night kwenda Hotelini na kurudi hata alfajiri or something.. Au angefika basi home akatia sababu yoyote ya kuondoka kidogo na simu zikawa kwa hewa kwa akili ya kawaida sasa mtoa mada huu utunzi wake!!
 
Hayo ni matokeo tu ya tukio zima ila hatujui chanzo chake,inawezekana kabisa chanzo chake kikabadili namna ambavyo watu watafikiri na kumhukumu huyu mama.Ndoa zina changamoto zake hivyo wenye kujua ni wenye ndoa.
 
Hayo ni matokeo tu ya tukio zima ila hatujui chanzo chake,inawezekana kabisa chanzo chake kikabadili namna ambavyo watu watafikiri na kumhukumu huyu mama.Ndoa zina changamoto zake hivyo wenye kujua ni wenye ndoa.
Joseph ... usijidanganye, hakuna changamoto za ndoa zinazotatuliwa kwa 'kuchepuka'...na wala hakuna excuse yoyote inayoweza kujustify 'kuchepuka'. Ni ushenzi tu...hauna jina linguine! Kama kuna changamoto kwenye ndoa na unadhani huwezi zitatua, na unaona bora ukatafute 'penzi' kwengine..si uachane basi kwanza na huyo mumeo au mkeo uende kwa amani.
 
hapo hiyo ni simple amesharahisisha kila kitu ,anatakiwa achukue gari lake na vitu vyake vyote baasi...................kila mtu na chake NO LOVE hapo
 

Mwanaume anachepuka anachepuka inafikia hatua anashindwa kumtimizia mke wake afanyeje nachepuka tuuu. Yaan na mie nachepuka kbsa utadhani sijawai fanya. We utiane huko ufaidi kwangu ukija ushindwe kunitimizia nikuangalie tuuu. Kwani mie sina hisia haaaaa tusichoshane wala tusilaumiane tukaushiane tuuu.
 
Mkuu Riwa natambua kabisa kuwa ''KUCHEPUKA'' si jambo jema kwa wanandoa na halina excuse pale unapokutwa,lakini ndoa nyingi siku hizi zina matatizo na hili suala la wanandoa kuchepuka ni njia mojawapo ambayo wanaona inafaa ili kupunguza machungu waliyonayo kwenye ndoa.Kwamfano inawezekana kabisa mwanaume ana kimada sehemu na mke ndani anajua,mbaya zaidi kimada ana watoto na mtaani inajulikana wala haina kificho huku mume akiwa hatulii nyumbani na mara kwa mara anakutwa na wanawake tofauti,unadhani mke ndani atafanya nini?Ndio maana nasema inatakiwa kushughulikia chanzo cha tatizo si matokeo maana wenza huwa hawakurupuki KUCHEPUKA zipo sababu za kufanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…