Wanaume tuwe makini na utoaji ruhusa

Ahaaaaa wanawake bana tatizo alafu hawatumii akili kwenye kuchepuka!!kuwakamata ni rahisi sana kama mengi alivyomshika madam rita

Mkuu ilikuwaje hii ya Tajiri wa IPP? Mbona ana kila kitu? ilikuwaje tena Madam Rita Achepuke?
 
Kama umeoa nungayembe hata ukilipiga cheni litagongwa tu. Cha msingi ni kuangalia mwanamke gani unataka kuoa...azawaiz utakula shubiri ndani ya nyumba....!
 
Huyo mama mjinga siyo mtaalamu wa kuchepuka si angefika kwao kwanza then akaendelea na mambo yake a
Lkn mungu amemuumbua akaolewe na huyo kama naye hajamuacha
 
mbona staili ya zamani sana hiyo. 1.eti unaenda kwenu 2.Kuzima simu 3.Kurudishwa home?? 4.kwani alihitaji orgasm ngapi?
Alitaka 8 hadi hamu ziishe! !! Hebu nicheki kwa pm Binti...nimekumiss
 
Mwanamke akishazoea kubadilisha kanga za kila aina kabla ya kuolewa, huwa vigumu kujenga mazoea ya kuvaa kanga hiyo hiyo kila leo, mazoea hujenga tabia. Kuna wanaume wenye hulka hiyo pia.
 
Kumegewa siku hizi ni kawaida ukitaka usimegewe mkeo usifuge kitambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…