Wanaume tutalipwa mengi na Mungu

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
333
Reaction score
1,261
Hawa ni mtu na mkewe wa ndoa kabisa ambapa wamebahatika kupata watoto watatu kwenye ndoa yao lakini baada yakupima DNA imegundulika kuwa watoto wote watatu sio wa mwanaume huyu

Yani Mwanaume unateseka unadharaulika kuhakikisha familia yako inapata huduma na malezi bora kumbe unaishi na mtu ambaye hisia zake ni za Usaliti

Mungu awadhalilishe Wanawake wote wenye tabia kama hizi, kama humpendi bora umuambie mapema yani watoto wote watatu nje ya ndoa

INAUMA SANA, WANAUME TUKAE KIMYA DAKIKA MOJA KISHA TULIE KWA HILI
🥲😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Kukipwa na Mungu ni filra za kimasikini, mwanaume ni maamuzi

First project haija work, piga chini, futa chozi songa mbele, next project itawork
 
Inatakiwa iwekwe sheria kua kila mtoto atakayezaliwa ndani ya ndoa,iwe ni lazima mtoto apimwe DNA ili kuhakikisha kua ni wa Baba/Mume muhusika,

Ikiwekwe hii sheria,haya mambo yakubambikiwa yatapungua sana kama sio kuisha kabisa.
 
Safi Sana acha mabwege wagongewe tu na waendelee kulea watoto siyo wao. Kwasababu hawasikii na hawajifunzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…