Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,919
Kwa mujibu wa biblia,uumbwaji wa mwanamke haukuwa mpango wa Mungu at the first place
'
Aliekua mpango wa Mungu ni mwanaume ndo maana ndie aliekabidhiwa Eden(Mwa 2:15)
'
Mwanamke hakuumbwa kwaajili ya mpango wa Mungu bali kwaajili ya mwanaume(Mwa 2:18)
'
Makatazo na maelekezo ya namna ya kuishi Eden hakupewa mwanamke bali Mwanaume,kwani wakati makatazo hayo yanatolewa mwanamke hakuwepo(Mwa 2:16-17)
'
Hivyo makatazo na mamlaka ya kuishi Eden yalikabidhiwa kwa Mwanaume ayasimamie,kazi ya mwanamke ni kufuata maelezo ya Mwanaume tu
'
Hivi ndivyo ilivyo kwa kuwa uumbwaji wa mwanamke haukuwa kwaajili ya Mungu ila kwa ajili ya Mwanaume(Mwa 2:18)
'
Baada mwanamke kula tunda,haikuhesabika kosa kwa kuwa yeye hakuwa mhusika mkuu pale mpaka alipokula Mwanaume(Mwa 3:6)
'
Baada ya kukosa,Mungu aliposhuka Eden hakumuita mwanamke kwanza bali Mwanaume(Mwa 3:9)
'
Mungu alijua umuhimu wetu lakini sisi tulidharau,hii ni aibu,
'
Wanaume tulikabidhiwa bustani ya Eden tukashindwa kutii maagizo ya Mungu kwa ushawishi wa mwanamke,hii ni aibu
'
Na baada ya hapo Mungu alisema tutamtawala mwanamke,lakini leo tunatawaliwa,hii ni LAANA
'
Leo ni kama tumegeuka wanawake na tunashabikia wanawake kututawala,eti nafasi bungeni na serikalini ziwe sawa,hii ni LAANA
'
Iko siku tutajibu haya!!