Wanaume tusiopenda wanawake weupe tukutane hapa

Wanaume tusiopenda wanawake weupe tukutane hapa

Weee mwamba Mungu anakuona [emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]

Mkuu hivi haukumsoma Deep pond, anasema lazima wawe nafigure ya wastani sio mwanamke tumbo la kumwagika, makalio makubwa, wanakueleza hao vibonge wazuri kuangalia tu wakivua wanatisha, wanakua kama mashetani , sasa ongezea huyo kasema kajichubua na wakuu wanataka weusi sio ndio balaa hapo kwahiyo atafia nyumbani tu
 
Ila JF mammmae wallah! [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa hiyo mie mweupe [emoji1787]

Wanataka rangi ya andazi umeambiwa mbona mbishi? Jf hatari walianza na walimu, wakaja single mothers, tukakaa kidogo mara wanataka wanawake wembamba hatujakaa sawa vijana wanakueleza wanataka rangi ya andazi weupe mtachezewa tu sijui kesho kutalipuka nini
 
Habari ndugu zangu..

Wanawake weupe hawana mvuto kabisa na wala hawana ladha hata kidogo kunako sita kwa sita.

kwa upande wangu mwanamke rangi ya andazi au mweusi wa asili anavutia sana nani warembo sana hakika wana ukosha sana moyo wangu.

Unakuta mwanamke mweusi au rangi ya andazi, mtoto haringi wala, mwili umepangika, hipsi na paja la kueleweka, mtoto kiuno, joint za nyuma ya goti ndiyo usiseme zinaongea. Mtoto mtoto kweli hakika wanawake wa hivi sifa ziende kwenu. Muishi sana hamnabaya hata kidogo

Kweli wanawake weusi au wenye rangi ya andazi sifa ziende kwenu.

Mbinguni nafasi yenu ni ya mbele , Mungu awatunze sana kwaajili yetu sisi wanaume.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mwanamke mweusi hachoshi, ana bashasha muda wote, na rangi yake inapendeza, ana harufu ya uumbaji halisi.

Mwanamke mweupe kuna nyakati unaanza kumuona kama papai, anakinaisha na hana mvuto wa asili
View attachment 2692653
 
Back
Top Bottom