Don Moen
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 1,719
- 3,294
Sio baba KeiMchagua kei.....?
Sio baba KeiMchagua kei.....?
Mweeee! Mimi napenda mweupe mwenzangu! Ebooooh!Habari ndugu zangu..
Wanawake weupe hawana mvuto kabisa na wala hawana ladha hata kidogo kunako sita kwa sita.
kwa upande wangu mwanamke rangi ya andazi au mweusi wa asili anavutia sana nani warembo sana hakika wana ukosha sana moyo wangu.
Unakuta mwanamke mweusi au rangi ya andazi, mtoto haringi wala, mwili umepangika, hipsi na paja la kueleweka, mtoto kiuno, joint za nyuma ya goti ndiyo usiseme zinaongea. Mtoto mtoto kweli hakika wanawake wa hivi sifa ziende kwenu. Muishi sana hamnabaya hata kidogo
Kweli wanawake weusi au wenye rangi ya andazi sifa ziende kwenu.
Mbinguni nafasi yenu ni ya mbele , Mungu awatunze sana kwaajili yetu sisi wanaume.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji38][emoji38][emoji2][emoji2][emoji2]Aisee tumejichubua tena hamtutaki!!
ni shogaaaa.....Mchagua kei.....?
Ndiyo maana Mfalme Suleiman alipata sababu ya kuoa wake 700 🤪Neema za Allah hizo shekhe 😃
✍️
cha muhimu tako tu nikipiga liwe lina tetema kama mayele full mzuka halafu anipe nipite kwa kule uwiiiiiiiiHabari ndugu zangu..
Wanawake weupe hawana mvuto kabisa na wala hawana ladha hata kidogo kunako sita kwa sita.
kwa upande wangu mwanamke rangi ya andazi au mweusi wa asili anavutia sana nani warembo sana hakika wana ukosha sana moyo wangu.
Unakuta mwanamke mweusi au rangi ya andazi, mtoto haringi wala, mwili umepangika, hipsi na paja la kueleweka, mtoto kiuno, joint za nyuma ya goti ndiyo usiseme zinaongea. Mtoto mtoto kweli hakika wanawake wa hivi sifa ziende kwenu. Muishi sana hamnabaya hata kidogo
Kweli wanawake weusi au wenye rangi ya andazi sifa ziende kwenu.
Mbinguni nafasi yenu ni ya mbele , Mungu awatunze sana kwaajili yetu sisi wanaume.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
We una rangi ya papai usibishe!!Mchagua kei.....?
Halafu wanajoto hatariiii SanaKweli wanawake weusi au wenye rangi ya andazi sifa ziende kwenu.
Mbinguni nafasi yenu ni ya mbele , Mungu awatunze sana kwaajili yetu sisi wanaume.
......
[emoji3578]
MtulieeeMbona hamtaki kuchangia uzi? Njooni muwasifie melanin queens.
Dedication: melanin by sauti soul ft Patoranking.
Sisi light skin tukae kwa kutulia leo.
Wake aliowaoa 400 na masulia (michepuko) 300 jumla wanawake 700wake 700
Nimeamua kuwa na mmoja kama Mama Mzazi tu, hao 700 watakuja kuniua bure na Uzee huu 🤪Wake aliowaoa 400 na masulia (michepuko) 300 jumla wanawake 700
✍️
Mimi sio mweupe my friend 😃😃,, hatimaye leo tumefikiwa na sisi😊🤗