Wanaume tuoe kwa sababu...

Kumbe hata "mwanaume mwenye akili" humjui ndio maana ukaanza kunitajia dangote..

Siku nyingine uulize kwanza..

Haya we ulipotaja dangote ulitumia qualitative au quantitative zipi?
Amefanya makubwa yanayofanya Africa iende.

Yeye ndio mwenye uwekezaji mkubwaa Mtwara.

Yeye ndio mwekezaji mkubwaa Africa.

Then ametengeneza urithi wa vizazi vyake vyoteee vijavyo.

HIZI SIO AKILI?

#YNWA
 
Kwahiyo hiyo akili ya kuoa ni tofauti sanaa na hii ya kutafuta hela?

Kwahiyo mwenye akili ya kuoa akawa hana akili ya kutafuta hela, HUYO AMEKAAJE?

#YNWA
Ewaa.. umezungumzia vitu viwili akili ya kuoa na akili ya KUTAFUTA hela..umesema KUTAFUTA hela sio akili ya hela, sasa na kwenye kuoa ili uwe salama ndio hapo inakubidi uwe na akili pia ya kutafuta mke(NDOA), Ukiwa kilaza ndio hapo unaenda kuokota jini unakuj kufuga ndani siku mbili linakunyonya damu umeisha unabaki unalia lia tu, kumbe ni wewe mwenyewe na akili zako n'duhu

Ndoa ni jambo la imani, aliyetuumba ndio katuamrisha tuoe, pili akatuwekea namna ya kumpata huyo mke, sio kurupu umekurupuka, unaokota jini unabaki unalalama tu...

"Dunia ni starehe na starehe iliyobora zaidi ni kupata mke mwema" muhammad s.a.w

Wale waliopata wake wema acha kabisa ni kama vile wana pepo yao hapa ulimwenguni na wale waliojiokotea majiini, nyumbani ni kwa moto.

Kuna aina mbili za wanawake kama vile tulivyowanaume.. 1.hawa ni kuwatafuna tu usithubutu kuoa(sisemi ndio mzini) mwenye akili atanielewa.
2. Wenye hadhi ya ndoa.
Sasa wewe ujichanganye wakumtafuna utembee ndio ugeuze mke, utaiona june july..

Khabari hizi ni ndefu,kutype pia uvivu mzee, waombe jamiiforum waruhusu na viaudio clip tupate kufaidika..

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Tafuta kuwa na pesa tu...hakuna mtu atakuletea dharau
aisee kuna watu wana pesa balaa lakini ndoa zinawatesa sana

mtoa hoja umeongea ukweli mtupu hata mimi suala la kuoa nimekua nahirisha kila mwaka kutokana na mambo kama haya
 
Ewaa.. umezungumzia vitu viwili akili ya kuoa na akili ya KUTAFUTA hela..umesema KUTAFUTA hela sio akili ya hela, sasa na kwenye kuoa ili uwe salama ndio hapo inakubidi uwe na akili pia ya kutafuta mke(NDOA), Ukiwa kilaza ndio hapo unaenda kuokota jini unakuj kufuga ndani siku mbili linakunyonya damu umeisha unabaki unalia lia tu, kumbe ni wewe mwenyewe na akili zako n'duhu

Ndoa ni jambo la imani, aliyetuumba ndio katuamrisha tuoe, pili akatuwekea namna ya kumpata huyo mke, sio kurupu umekurupuka, unaokota jini unabaki unalalama tu...

"Dunia ni starehe na starehe iliyobora zaidi ni kupata mke mwema" muhammad s.a.w

Wale waliopata wake wema acha kabisa ni kama vile wana pepo yao hapa ulimwenguni na wale waliojiokotea majiini, nyumbani ni kwa moto.

Kuna aina mbili za wanawake kama vile tulivyowanaume.. 1.hawa ni kuwatafuna tu usithubutu kuoa(sisemi ndio mzini) mwenye akili atanielewa.
2. Wenye hadhi ya ndoa.
Sasa wewe ujichanganye wakumtafuna utembee ndio ugeuze mke, utaiona june july..

Khabari hizi ni ndefu,kutype pia uvivu mzee, waombe jamiiforum waruhusu na viaudio clip tupate kufaidika..

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app

Tatizo unazungumzia dini ambayo hata siiamini na sijui chochotee kuhusu yenyewe.

Ungeongea hii general world knowledge ingakuwa poa sanaa.

Knowledge ambayo haina biasness na dini.

Tuanzie hapo, SHUSHA MADINI.

#YNWA
 
Kuna shortage ya wanaume worldwide, kama wanaume tukistick na mke mmoja kuna hatari ya wanawake wengi kukosa wenza.

Sasa ndio inashangaza hawa wanaume sijui wavulana wa kuwastiri jinsia ya kike wameanzisha kampeni ya kuwaogopa wanawake.

Unaposikia mfalme Suleiman alikuwa na wake 800 na masulia 300 maana yake si kwamba alipenda sana papuchi bali kulikuwa na uhaba wa wanaume na wengi walikufa vitani hivyo ili kuwastiri ilibidi wanaume waowe watu wengi ili wanawake wapate hata muendeleza kizazi.

Sasa kwa hali halisi ya sasa ya vijana kuwaogopa wanawake itabidi wanaume kamili wabebe haya majukumu ya kuwastiri wanawake. Ndoa za wake wengi zinahitajika sasa kama Nguza wa kwenye Mpali Dstv.
nguzaaaaaaaa
 
Tatizo unazungumzia dini ambayo hata siiamini na sijui chochotee kuhusu yenyewe.

Ungeongea hii general world knowledge ingakuwa poa sanaa.

Knowledge ambayo haina biasness na dini.

Tuanzie hapo, SHUSHA MADINI.

#YNWA
Basi mzee hatuwezi kuzungumzia hayo, turudi kwa liverpool enzi za gerrard kwenye ubora wake nilivyokuwa naipenda, ila th14 na dennis bergkamp wakaniponza kuwa mshika gobole.
 
NDOA ni taasisi kubwa na yenye mlengo wa kumletea mwanadamu utulivu wa mwili,akili na furaha maishani........ukiona upo kwenye taasisi ya NDOA lakini huna furaha, huna utulivu na huna amani basi tambua kuwa bado haujafunga NDOA bali upo gerezani.......

Matendo na mienendo mibaya ya wanapenda taasisi hakuiondolei thamani ya taasisi kutokana na mlengo na madhumuni ya taasisi........

Wapo wanaofurahia kuunda hii taasisi ya ndoa na kujutia kwanini walichelewa kuoa na wapo wanaoishi kwenye majuto kwenye ndoa huku wakijilaumu kwanini wameoa.....

Ugumu wa taasisi ya ndoa unachangiwa na utandawazi na fikra za kishetani za wanadamu wa nyakati hizo.....
 
YAP.

Mwenye mafanikio ina maana ana akili ya ugunduzi, uvumilivu, ubunifu, maarifa.

Simply ka "utilize" his/her brain well ili kufikia mafanikio yake.

#YNWA
Acha ninywe chai ya mama watoto kwanza,..

Wewe unamzungumzia mwenye akili.. mimi nilikuwambia ndoa ni kwa wanaume wenye AKILI TIMAMU tu" sijui hili neno timamu hujaliona au hujaelewa!? Koote ufanikiwe ila ukifanikiwa kumpata mwenza sahihi wa maisha ndio mafanikio makubwa zaidi..

Nilikuuliza akili ni nini hujajibu. Haya twende unavyotaka ww unasema mwenye mafanikio hapo hapo unanitajia akili ya uvumbuzi, akili ya uvumilivu,akili y ubunifu,na ya maarifa ,
Vipi wale mamilionea wenye mali za urithi nao ni wana akili..

Mzee mafanikio ni jambo pana, kila mtu ana akili za pesa,kila mtu ana akili ya kutafuta pesa,hakuna asie na akili ya kutafuta pesa, ila kutoboa ni jambo jingine kabisa..

Futa kauli kuwa mwenye akili ni pesa tu.

Back
Top Bottom