Hao watoto mwisho wa siku wakitoboa, mama anawatia sumu na mistari yao ya nani kama mama. Mtoto akija anampa mzee buku ten maza anapewa laki. Sasa hapo kuna faida gani.
Hao watoto ni back up plan ya mwanamke sio mwanaume. Mwanaume mwanzo mwisho wa maisha yake ni kujisimamia.Wengi uzeeni hutengwa na watoto na wake zao kidesign.
Hii ipo sana. So mwanaume apambane but 80% ya anachopata ajiwekee akiba ya uzee mke asijue hata kitu. Ukizeeka unakuwa busy na ratiba zako wacha watoto walee mama yao wewe unakuwa hauna time wanashangaa mzee anadunda 90+ years yupo fiti na haombi hata mia.