Wanaume tunazidi kupungua

Wanaume tunazidi kupungua

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,626
Wanaume wanageuka kuwa kituko kila siku.
IMG_20221210_204954.jpg
 
Mavazi tu hayo, hayaondoi uanaume alionao labda kama anapumuliwa.
 
Hiyo picha imenichekesha sana duuuu!!!

Jamaa kapiga Hadi high hills.

MUNGU ATUSAIDIE JAMNI.
MAJUKUMU TULIOPEWA YA KULA KWA JASHO TUSIYASAHAU.

Mateso.
 
Haya mambo ndoyo kanye west anayakataaa
Umaarufu huku unafanya mambo sivyo

Ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom