Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 63,629
- 112,720
Nashauri waendelee kurogwa
Chaliiii 🤣Mimi kuna binti nahisi kaniroga kabisa make sielewi elewi hisia zangu kwake ani.
Hapo kila mtu na kabila lake na limbwata lake , hapo mwanaume lazima dish liyumbe unamsahau hadi mama yako.Sabrina, Aisha, mwanaisha, Amina, Anna,