Wanaume tunaopenda kuvaa suti njooni tushauriane jinsi ya kuchagua rangi na aina za suti nzuri

Nimejifunza hivi karibuni kuvaa suti..... in anyway, my favourite colour has and will always be black
 
Suit Basics

Rangi ya Charcoal Grey:
Kama una suti moja tu, hii rangi ina fit occasions nyingi. Not too loud, not too dull. Ni rangi ya kiutu uzima.

upload_2017-5-18_12-16-24.png

Rangi ya Navy Blue:
Kama charcoal grey, inakufanya u-fit in rather than stand out.

upload_2017-5-18_12-21-5.png

Rangi nyeusi.
Third choice kwa sababu kwenye hafla nyingi, hutumika kama uniform kwa hiyo be careful usifanane na walinzi au wahudumu. Inafaa kwenye misiba kuonyesha kuwa uko pamoja.

upload_2017-5-18_12-23-48.png

Koti lisikupwaye na lisikubane, uweze kukaa comfortably.
Fungua vifungo unapokaa. Vuta mikono inapobidi.
Hakikisha collar haiendi nyuma, vuta mbele kwa ku-adjust eneo karibu na diaphragm.
Urefu wa koti usizidi hip-bone.

Suruali isikubane , lakini kama msuli wa paja upo, uonyeshe (siyo vibaya, huvutia).
Isionyeshe makalio, isiwe kata-k.
Hakikisha unaweza kuchuchumaa comfortably ndani ya suruali.
Isionyeshe mashine ukisisimka lakini isipwaye mbele. Make sure unaweza ku-dance comfortably.
Urefu mpaka chini kidogo ya mfupa wa ankle wa pembeni.
ISIWE BWANGA, ISIWE NA CELEBRATIONS.

Viatu vyeusi au brown. I prefer zipped boots. Ila vyovyote vile ni choice ya mtu.
 
Wadau minafunga ndoa soon nimeplan kuvaa suti ya dark blue, wanaojua bei na pia ushauri wa rangi nyingine labda.. pia muda wa kuipata hiyo suti na pia ya msimamizi maana nagharamia zote. Bei wastani
Laki moja na gamsini elfu
 
Suit Basics

Rangi ya Charcoal Grey:
Kama una suti moja tu, hii rangi ina fit occasions nyingi. Not too loud, not too dull. Ni rangi ya kiutu uzima.

View attachment 511205

Rangi ya Navy Blue:
Kama charcoal grey, inakufanya u-fit in rather than stand out.

View attachment 511207

Rangi nyeusi.
Third choice kwa sababu kwenye hafla nyingi, hutumika kama uniform kwa hiyo be careful usifanane na walinzi au wahudumu. Inafaa kwenye misiba kuonyesha kuwa uko pamoja.

View attachment 511209

Koti lisikupwaye na lisikubane, uweze kukaa comfortably.
Fungua vifungo unapokaa. Vuta mikono inapobidi.
Hakikisha collar haiendi nyuma, vuta mbele kwa ku-adjust eneo karibu na diaphragm.

Suruali isikubane , lakini kama msuli wa paja upo, uonyeshe (siyo vibaya, huvutia).
Isionyeshe makalio, isiwe kata-k.
Hakikisha unaweza kuchuchumaa comfortably ndani ya suruali.
Isionyeshe mashine ukisisimka lakini isipwaye mbele. Make sure unaweza ku-dance comfortably.
Urefu mpaka chini kidogo ya mfupa wa ankle wa pembeni.
ISIWE BWANGA, ISIWE NA CELEBRATIONS.

Viatu vyeusi au brown. I prefer zipped boots. Ila vyovyote vile ni choice ya mtu.
Mkuu umemaliza suits zangu
 
Kuna lecturer mmoja alikua anavaa suti rangu za kike yaani tulikua tunachekaaa! Atakuja kavaa aqua blue, mara orange, pink...
Hili la aqua blue...mbona ndio suit inayotrend ktk fashion kwa sasa...unajua wanaume wa sasa ni tofauti na zamani..wameanza kupenda nguo zenye crazy colours kama wanawake kwa hiyo kinachoangaliwa kwa sasa sii rangi tena but ni ile smatnes na unaivaa kwa jambo gani au kwa tukio gani na je? Imeshonwa slim fitted suit au nsio bwanga....suit ikiwa fitted one inapendeza na inamvutia kila mtu machoni hata kama itakuwa ni crazy colour...
 
Mmmh! Kwangu kuna rangi za suti akivaa mwanaume simuelewi kabisaaa! Napenda mwanaume avae dark colors, zile basic... Black, dark blue, grey na white.
Na ile ya ugoro sijui ndo brown...
 
Binafsi nadhani inakufaa. Valia na shati jeupe ama light blue. Sijui ndio nagoma kuzeeka, I think suti bila tai inakuwa poa zaidi. Usisahau killer leather shoes, Brown especially so that everyone would notice
Mkuu kitambo sana wewe
 
Mmmh! Kwangu kuna rangi za suti akivaa mwanaume simuelewi kabisaaa! Napenda mwanaume avae dark colors, zile basic... Black, dark blue, grey na white.
Na ile ya ugoro sijui ndo brown...
Uko sawa lakini itategemea na shughuli yenyewe unayoivalia suit..mfano kama ni harusi..hizo colour ni common sana na wala haziwezi kudraw attention ya watu...unaweza kuvaa black ktk harusi yako, ukajikuta umevaa sawa na wanakamati wako maana asilimia kubwa ya watu wanakimbilia black suit sababu kubwa ikiwa ni kuwa huru na kuonekana rasmi tuu kama mtu aliyevaa suit lakini haikuletei usumbuf wa watu kukutupia macho mara kwa mara na mara nyingine watu wanaogopa kuvaa rangi zinazovuta macho ya watu coz wanaogopa kuambiwa wamepania sherehe za watu...
.
.
Lakini kama ww ni bwana harusi unatakiwa uangalie rangi ambazo hata mkiwa na mpambe wako mtakuwa mmevaa tofauti angalau kidogo na waalikwa...
 
Ni kweli!!
 
Back
Top Bottom