Wanaume tunaopenda kuvaa suti njooni tushauriane jinsi ya kuchagua rangi na aina za suti nzuri

Uko sawa lakini itategemea na shughuli yenyewe unayoivalia suit..mfano kama ni harusi..hizo colour ni common sana na wala haziwezi kudraw attention ya watu...unaweza kuvaa black ktk harusi yako, ukajikuta umevaa sawa na wanakamati wako maana asilimia kubwa ya watu wanakimbilia black suit sababu kubwa ikiwa ni kuwa huru na kuonekana rasmi tuu kama mtu aliyevaa suit lakini haikuletei usumbuf wa watu kukutupia macho mara kwa mara na mara nyingine watu wanaogopa kuvaa rangi zinazovuta macho ya watu coz wanaogopa kuambiwa wamepania sherehe za watu...
.
.
Lakini kama ww ni bwana harusi unatakiwa uangalie rangi ambazo hata mkiwa na mpambe wako mtakuwa mmevaa tofauti angalau kidogo na waalikwa...
Umeseme nilichotaka kusema.
 
Dark Blue Au Navy Blue Ndo Poa. Au Kama Ni Black Bas Ndani Shirt La Light Blue Au Pink,Ila Sio Jeupe.Sio Msuti Mweusi Na Mshat Mweupe Kila Siku Kama Meneja Wa Baa!!
 
b009a4c8c0337154c1cb58624d61ad52.jpg


a6f8d2cc85961cc6e99c8040fe7c4488.jpg


ac145d040c7b5fd93dc59a5f4e82f524.jpg
 
Back
Top Bottom