Wanaume tunaopenda kuvaa suti njooni tushauriane jinsi ya kuchagua rangi na aina za suti nzuri

Mi napenda suti nyekundu na Suti njano,Hizi zinapendeza sana!
I wish na wenzangu mupende muwe tofauti na za buluu zinazovaliwa na makondakta
 
Rangi ambazo zinatrend kwenye suit kwa mwaka huu kuna brown Fulani inakuwa lite kido halafu kuna kaki na navy blue, hizo ni rangi ambazo kwa mwaka huu zinaonekana kukubalika sana
 
Rangi ambazo zinatrend kwenye suit kwa mwaka huu kuna brown Fulani inakuwa lite kido halafu kuna kaki na navy blue, hizo ni rangi ambazo kwa mwaka huu zinaonekana kukubalika sana
Hizi habari za rangi za mwaka huwa siziwezi.
 
Hii style je?
IMG_20170518_182801.jpg
 
IMG_20170518_193518_418.JPG
binafsi napenda saana kuvaa suti mpaka home wananiitaga "chizi suti" kwenye kabati langu Nina kila aina ya suti za rangi mbali mbali unazozijua.

Red suit from Roberto carvallo.
 
Mkuu wewe ni lawyer?
Hivi suti nyeusi hua ni dress code yenu?

Ni kweli suruali isiwe 'modo' ikubane sana, inatakiwa iendane na mwili, sio pana sana wala ikubane sana.
Yeeahp attire ni dress code ya mwanasheria... jambo la kuvaa model linaendana na dress code pia Mkuu, sio mtu unavaa nguo iliyobana kama tight ama ipo juu ya socks kama miguu ya kuku.? Nope sio dress code to lawyers, though kuvaa nguo inayoendana na mwili ni jambo zuri cause unaonekana smart na fashionable.! Being a lawyer&decent dress fashioning ni identical twins.
 
Back
Top Bottom