Wanaume tunaongoza kusaliti na kujisifu kusaliti, lakini sisi tukisalitiwa tunalaumu

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,709
5,697
Hi,

Kuna kitu nashangaa kuhusu sisi wanaume, naongelea from experience nliyoona from washkaji wangu wa karibu, utakuta mwanaume ni malaya mbwa, michepuko anayo kama yote, na malaya ananunua, lakini anatarajia mkewe awe loyal, hii inawezekanaje?

Tarajia mkeo au mpenzi wako awe loyal, kama wewe ni loyal, kama wewe ni mwaminifu halafu mkeo akakucheat hapo una haki ya kulalamika, sasa wewe mwenyewe una michepuko 50, mkeo akitongozwa tu au akiwa na mchepuko Mmoja tu unakasirika unataka kuua mtu.

Wanaume tujirekebishe, kama wewe unachepuka na mkeo akichepuka kaa kwa kutulia, ila kama wewe hujawahi msaliti mkeo, ila mkeo anakusaliti, hapo sawa una haki ya kukasirika na unaeza nunua gunia la mkaa.
 
Wanaume tujirekebishe, kama wewe unachepuka na mkeo akichepuka kaa kwa kutulia, ila kama wewe hujawahi msaliti mkeo, ila mkeo anakusaliti, hapo sawa una haki ya kukasirika na unaeza nunua gunia la mkaa
Nonsense.

Jirekebishe wewe na shosti zako kwa niaba yetu
 
Kweli tupu
 
Mwanaume kaumbiwa wanawake na mwanamke kaumbiwa mwanaume.

Ukielewa hiyo formula hapo juu basi.
 
Hi,

Kuna kitu nashangaa kuhusu sisi wanaume, naongelea from experience nliyoona from washkaji wangu wa karibu, utakuta mwanaume ni malaya mbwa, michepuko anayo kama yote, na malaya ananunua, lakini anatarajia mkewe awe loyal, hii inawezekanaje?

Tarajia mkeo au mpenzi wako awe loyal, kama wewe ni loyal, kama wewe ni mwaminifu halafu mkeo akakucheat hapo una haki ya kulalamika, sasa wewe mwenyewe una michepuko 50, mkeo akitongozwa tu au akiwa na mchepuko Mmoja tu unakasirika unataka kuua mtu.

Wanaume tujirekebishe, kama wewe unachepuka na mkeo akichepuka kaa kwa kutulia, ila kama wewe hujawahi msaliti mkeo, ila mkeo anakusaliti, hapo sawa una haki ya kukasirika na unaeza nunua gunia la mkaa.
Bado hujaoa wewe
Si wanawake wakianza kuwatolea wanaume mahari na kuwatunza ndio watakubali huo upuuzi ulioshauri.
 
Kaka yetu Robert alishawalipuaa na hili..na walitoaa povuu hatarii..Ila alikwenda nao sambamba😄😄...uzuri siku hizi wanawake zenuu wanawazoom tuu...hawajali Wala nini...
 
Back
Top Bottom