kusaliti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Balqior

    Wanaume tunaongoza kusaliti na kujisifu kusaliti, lakini sisi tukisalitiwa tunalaumu

    Hi, Kuna kitu nashangaa kuhusu sisi wanaume, naongelea from experience nliyoona from washkaji wangu wa karibu, utakuta mwanaume ni malaya mbwa, michepuko anayo kama yote, na malaya ananunua, lakini anatarajia mkewe awe loyal, hii inawezekanaje? Tarajia mkeo au mpenzi wako awe loyal, kama wewe...
  2. chiembe

    Kwa tabia za kuabudu mataifa wanayoishi hawa Diaspora, ni vyema Serikali isiruhusu uraia wa nchi mbili, ni rahisi sana kusaliti nchi

    Hawa ni rahisi sana kutumika na mamlaka za nchi wanakoishi. Diaspora wanaomba wawe na uraia wa nchi mbili, yaani wawe marekani na ulaya, sijui Asia na pia wawe watanzania, wale huku na kule. Tabia ya ulafi. Juzi wamejionyesha wako upande gani, wako upande wa maadui wa taifa, mabeberu
  3. NYUNDO YA MOTO

    Wale wenye uwezo wa kulala na mwanamke bila ya kufanya naye mapenzi iwe ni mara ya kwanza au ni marafiki au wapenzi

    Kwa bahati nzuri au mbaya tabia hii nilianzisha tangu naanza kuwa na mahusiano ya mwanzo kabisa, Mwanamke akisema ajisikii au kama sijamua hata arukeruke uchi usiku au mchana mzima siwezi kumuingilia mpka mimi mwenyewe niamue. Amini ya kwamba wewe ndiye Master mind wa kila kitu kilichopo...
  4. WOLF SEPTICEMIA

    Nimesamehe lakini sitasahau

    Hodi wakuu! Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru Mungu nilifanikiwa, taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na mtoto mmoja nilimpenda hivo hivo nikawa namlea Kama wangu , kiukweli nilimshukuru mungu kwa...
  5. Handsome boy 1

    Nini huwa sababu kuu za kuachwa au kusalitiwa na mpenzi, mchumba au mke wa ndoa?

    Kumekuwa na wimbi la usaliti sana siku hizi na tumekuwa tukishuhudia visa hata humu JF kuhusu usaliti na kuachana kwa wanandoa wachumba au wapenzi sababu ni nyingi sana lakini unavyoona wewe sababu kuu hasa inaweza kuwa nini?
  6. kityentyee

    Mnawezaje kucheat & at the same time mkaweza kumaintain upendo wenu kwenye mahusiano yenu?

    Salaamuni, Eti wadada hivi kuna kauwezekano nyie mkachepuka and still mkamaintain ule upendo wenu kwenye mahusiano yenu? maana to be honest kuna mwanamke nimedumu nae kwenye mahusiano for almost miaka miwili sasa lengo langu likiwa nijiweke sawa ili nipate uhakika wa kuishi nae mtoto wa watu...
  7. ziba

    Wanawake wanaopenda kusuguliwa kucha wengi wao hufanya mapenzi na wasugua kucha

    Wakuu habarini za kazi, Nimegundua wanawake wanaopenda kusuguliwa kucha na wasugua kucha huishia kusex nao. Huu ndiyo ukweli wasugua kucha wanagegeda sana wake za watu tena ndani ya nyumba zao. Nilikuwa naenda kumtembea rafiki yangu nyumbani kwake, jamaa akawa hayupo niliyemkuta alikuwa mkewe...
Back
Top Bottom