Wanaume tunaochepuka wote tukutane hapa

Wanaume tunaochepuka wote tukutane hapa

Kuna watu wanalia lia humu jf na kuwapa majina mabaya wake /wanawake wenye kuchepuka bila kujua kuwa tunajua kuwa wanaume mnachepuka...na wanaume mlivo siku hizi nguvu za kufanya ni Tia maji tia maji ukitoka kuchepuka ndani unapiga kimoja hoooi unafikiria mkeo atakaa na nye.ge miaka yote akikusubiri wewe kicheche wa kiume??!!


Nimekuelewa fika, nyege ni kitu ambacho hakiepukiki...ikikushika wajibika ila chukua tahadhari. usitumia matunda kujisitiri kama u mwanamke au kufukuza wanyama na kuwabaka kama u mwanamme. Raha ya tendo la ndoa ni mwanamke na mwanamme tu si vinginevyo. Kama mumeo hayupo karibu au uko single tafuta wa kujishikilia naye na mwanamme hivyo hivyo....tumepewa ili tupeane jamani, lawama za nini?
 
Dear hata wanaume wasijiaminishe wako peke yao kwa wake zao, hao wanawake wanao kutongoza ni wake au girlfriend za wanaume wenzio


Sijabisha hili na siwezi kamwe kujidanganya kuwa niko pekee kwani kila mtu ana haki ya kubadilisha mboga.
 
Nimekuelewa fika, nyege ni kitu ambacho hakiepukiki...ikikushika wajibika ila chukua tahadhari. usitumia matunda kujisitiri kama u mwanamke au kufukuza wanyama na kuwabaka kama u mwanamme. Raha ya tendo la ndoa ni mwanamke na mwanamme tu si vinginevyo. Kama mumeo hayupo karibu au uko single tafuta wa kujishikilia naye na mwanamme hivyo hivyo....tumepewa ili tupeane jamani, lawama za nini?
nakugawa bure... Bora umejibu ukweli ulivyo kuliko kubaki unajidanganya. Hapa ni kujitahidi kuwa mwaminifu kwa mwenza vinginevyo ukijiendekeza utachepuka bila kikomo
 
nakugawa bure... Bora umejibu ukweli ulivyo kuliko kubaki unajidanganya. Hapa ni kujitahidi kuwa mwaminifu kwa mwenza vinginevyo ukijiendekeza utachepuka bila kikomo


Tatizo la uaminifu ni kwamba, it's always a one way street....utajisitiri kulinda heshima ya mwenzio huku mwenzako huyo huyo yuko na wapenzi zaidi ya 4. Wanawake wako wengi mno duniani, wote wakiolewa hao walio single watashughulikiwa na nani? Mungu ametupa akili tufikiri, ya kuambiwa ama kukariri tuchanganye na akili zetu....tumeletwa duniani ili tuzaane na kumuabudu Mungu na Mungu katupa vikombolezo ili tuvitumie ipasavyo, ya nini kunyimana wakati kunyimana ni dhambi? Fikiria, mwanamke anakuomba gegedo unamkatalia kisha anaenda kuchimba muhogo ama karoti ajishindilie....nani mwenye dhambi hapo kama si wewe mwanamme uliyemnyima gegedo? Jamani tuache lawama za kijinga, tepeane kwa uangalifu bila kuambukizana kimakusudi na kukomoana.
 
nimeacha kuchepuka ndoa yangu inapumulia mashine ...nimekamatwa na ushahidi wa kutosha labda busara tu ya wife ndio itaniokoa sina la kujitetea..nawaasa wachepukaji wenzangu tutakamatwa mmoja baada ya mwingine naombeni mimi niwe case study kwenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom