Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,339
Nahisi kama hamjui MAP INTERPRETATION! Huyu mshkaji katoka zake shopping, chombo nacho kilikuwa katika WINDOW SHOPPING, wakati mshkaji anatoka na mafurushi ya bidhaa hiki chombo kikaona kitumie nafasi ya ushawishi wake ili kama vipi hiyo mizigo imuhusu! Kwa sbb jamaa anaonekana hana time kabisa na huyo mwandafada, ila mdada amepita kwa speed 120 ili amuachie vumbi mshkaji, na kwa tabia halisi ya mwanaume hatoona tabu kumkabidhi hizo bidhaa mwanadada hata kama alikuwa kamnunulia mama ake mzazi! Ni mawazo yangu tu!
Viatu vizuri hivyo,lol
kaka anajua akitakacho maishani. Hiyo mpododo ukiwa umebeba mizigo mtikisiko unakuwa sio sawa. Raha yake uwe free hivyo, mkifika home udenda umeshakauka. Naiwazia tu wallet ya kaka wa watu hehehehe.
Tamaa hiyo, mie nishakula mahari yangu. Usitake nitemeshwe bure, ukiachika utalipa mwenyewe............LOL
Kwajinsi alivyo hypo Ni saw a kabisa
Nahisi kama hamjui MAP INTERPRETATION! Huyu mshkaji katoka zake shopping, chombo nacho kilikuwa katika WINDOW SHOPPING, wakati mshkaji anatoka na mafurushi ya bidhaa hiki chombo kikaona kitumie nafasi ya ushawishi wake ili kama vipi hiyo mizigo imuhusu! Kwa sbb jamaa anaonekana hana time kabisa na huyo mwandafada, ila mdada amepita kwa speed 120 ili amuachie vumbi mshkaji, na kwa tabia halisi ya mwanaume hatoona tabu kumkabidhi hizo bidhaa mwanadada hata kama alikuwa kamnunulia mama ake mzazi! Ni mawazo yangu tu!
Du mboana km kakatiza kwa mbele halafua anamzinga jamaa, maana mguu wa kulia na mchuchumio haviendani
Kwajinsi alivyo hypo Ni saw a kabisa