Mie sijawahi kumtesa mtu hivyo ndio maana nashangaa
Kwaida yangu napataga downfall mbaya..... Ahcha nimalize matibabu !!! HF Star banaa!
Hakika HF... Star pekee tena ikifuatiwa na MbalaMwezi chini yake!! "bisha" ( yaani ukitaka kuiua JF !! wewe ghibu siku moja tuu) tutasambaratika wote humu....! HF Star!!Hahahaha umenifurahisha sana Zamiluni Zamiluni.Mie star??