Halafu unajitoa ufahamu unajifanya hujui kweli jamani?
HF !! ulinitesa sana ...hadi nikauguwa mental !!! nauguza....Kumbe sometimes mnapitia mateso sana eeeeh
Haina maana kumtesa bali magumu ayapitiayo ili kukupa furaha
HF !! ulinitesa sana ...hadi nikauguwa mental !!! nauguza....
Nilienda mirembe nakawambia nimepewa Pole sana!! mmmh wakasema hatuna prescrptions za Pole !!!!! Save my soul....Ooooh!pole sana jamani
Nilienda mirembe nakawambia nimepewa Pole sana!! mmmh wakasema hatuna prescrptions za Pole !!!!! Save my soul....
Duu vina hivi vimeenda shule
Mie si Withdraw... kwani sina feelings hisia za maumivu ayajuae mshika moto!! I can't sleep alone!!Jamani natamani kukusaidia sema kuna mtu atapata mateso mara mbili ya uyapatayo....
Mie si Withdraw... kwani sina feelings hisia za maumivu ayajuae mshika moto!! I can't sleep alone!!
Hahahaha makubwa haya.Hebu mshana jr mpe somo mke wa mtu sumu atiii!!
Kwaida yangu napataga downfall mbaya..... Ahcha nimalize matibabu !!! HF Star banaa!Shusha vina kaka mpaka kieleweke bundle ikikata nidipu