Wanaume tukutane hapa kuna kikao cha dharula

Wanaume tukutane hapa kuna kikao cha dharula

mwanamke tako hana, sura mbovu, upstairs kuna mazero tu, hajasoma, hana shule, hana hela kabisa, huyu atakuwa anashinda kwenye umbea tu, LEAVE THAT BITCH ALONE...Atakupa stress..NB: akiwa na shule, upstairs yupo poa na kishundu anacho huyu huwa ana maksi kubwa sana kwa wanaume SIJUI KWANINI....
 
Unapata Mtoto Mzuri, mrembo ana elimu yake nzuri, anajiheshimu, ana kazi nzuri na pesa anazo. Wewe hutaki unataka tako! kama sio bangi ni nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
Tena "bangi" iliyochemshwa kwenye gongo , kitu cha mshemsho!!
 
Tako ni kama chumvi kwenye mboga au sukari kwenye pilipili au ndimu kwenye supu..

Ni hitaji la muhimu mkuu

Na TAKO liheshimiwe na watu wa mataifa yote
 
Umbo na muonekano wa mtu ndio sifa namba moja,sifa ya pili ni tabia,sifa ya tatu ni mengineyo...
 
Acheni presha watu jf kuweni kama mimi sina presha tena sababu ni hii i am living my life and life is to short
Asilimia kubwa ya watu wenye hivi vikauli huwa wana intrapersonal conflicts[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom