Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 20,549
- 44,318
Tatizo lenu vijana mnataka demu akija geto basi akuone we unacare sana na una pesa sana. Matokeo yake ndo kama hayo sasa.
Yani mwanamke kila anachotaka unampa papo hapo, yani una bajeti ya buku 3 halafu unamuuliza anataka ale nini, nyambafu we uliza msosi flani unakula, ndio, pika au nunua kulingana na bajeti yako sio kitu anachotaka yeye.
Kujimwambafy ndo kunakuua dogo na usijilaumu huo ndo uanaume sasa.