Flashfifty
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 226
- 575
Ukishakua na self discipline kuna vitu kama mwanaume huwez kuviendekeza ktk maisha yako au kuvipa kipaumbele...focus


Kabisa chief.. Chapaa ni sabuni ya roho.Pesa ni sabuni ya roho..
Umeandika kwa makasiriko mkuu. Kijana kajitutumua kuishi maisha yasiyo yake ndo maana 80k imemuumiza ila kiukweli kabisa ni hela ndogo kutumia na baby na haikua na haja yeye kuitumia hela hiyo wakati kipato chake bado hakimruhusu kufanya matumizi ya hivyo.Jf watu wanajikutaga Wana pesa maisha mazuri ,yaan mwanzo mwisho wanamkandia jamaa kuumia kisa kaspend 80k dah hivi kwa maisha gan tulio nayo watz had mkejel 80k?
Wabongo kwa sifa Ni shida kutana nae live utacheka had ufe ,hiz fake I'd zinawastirisha Sana watu ndio maana kujigamba Kama kote.
Na huo ndio uanaume. Ukitumia ukipata hasira pambana urudishe. Sasa kijana kutumia anataka na akishatumia anajuta anaona kama katupa helaJitahidi uirudishe hiyo 80K kwa njia nyingine. Mfano mimi nikitumia hela kwenye starehe kama hizo kesho yake napambana nairudisha yote au angalau nusu yake. Majuzi nilikuwa na pisi moja ikanigharimu sana but now nishairudisha yote kwenye akiba.
Kwahio nkikutana na ww ntacheka hadi nife?Jf watu wanajikutaga Wana pesa maisha mazuri ,yaan mwanzo mwisho wanamkandia jamaa kuumia kisa kaspend 80k dah hivi kwa maisha gan tulio nayo watz had mkejel 80k?
Wabongo kwa sifa Ni shida kutana nae live utacheka had ufe ,hiz fake I'd zinawastirisha Sana watu ndio maana kujigamba Kama kote.


Hahaha acha kurahisisha mambo mkuu. Hakuna mbadala wa mbususu asee..Umeandika kwa makasiriko mkuu. Kijana kajitutumua kuishi maisha yasiyo yake ndo maana 80k imemuumiza ila kiukweli kabisa ni hela ndogo kutumia na baby na haikua na haja yeye kuitumia hela hiyo wakati kipato chake bado hakimruhusu kufanya matumizi ya hivyo.
Halafu mwanaume kutumia hela kwa baby ni kawaida kama anaona hawezi bora ajibanze CHAPUTA kwa muda akipata hela atafute binti
Maisha sio magumu kiasi hicho mkuu.Hahaha acha kurahisisha mambo mkuu. Hakuna mbadala wa mbususu asee..
Japo nimesome kiumeni 100%, ila chaputa haijawahi kunibariki kabisa.
Mkuu una mawazo mazuri sana. Kijana azingatie ushauri wako hakika hatokuja kulia lia tnaMaisha sio magumu kiasi hicho mkuu.
Inaonekana kwa kipato chake 80k ni nyingi kutumia kwa mwanamke. Sasa kwanini amuumize kiti kwa kumfurahisha shetani?
Afanye mambo rahisi tu, asitumie pesa yake aingie CHAPUTA akizipata nyingi atakula wadada tu.
Ni kuamua kuacha tu ndiyo mbinu kubwa,kua na moyo wa kupuuzia tamaaWakuu habari..
Nawaza nilivyo spend kwa huyu msichana lkn at the end I got nothing.
Msichana nimemrushia nauli,kaja kwang kakaa siku 2 tumefanya mapenzi katumia hela,kaondoka nimempa nauli..
Almost nimetumia zaidi ya 80000 kwa siku mbili..nawaza nachoka
Hii pesa ningeisave je? Au familia yang ingefaidi km ningewapa..
Maan natafakari apa nishafany mapenzi lkn sijaon nilichopata kabis zaid ya kuanz kuwaza hela yangu..afu msichana mwenyew sina naye future kabis
Wanaume mnatumia mbinu gani kutospend sna kwa mademu?
Mkuu kuna ngono za hovyo halafu kuna genye ooh. Genye zipogo tu. Halafu anaonekana sio mtu wa ngono za hovyo ni vile tu kipato hakijamkalia sawaNi kuamua kuacha tu ndiyo mbinu kubwa,kua na moyo wa kupuuzia tamaa
Ukiacha ngono za hovyo unakua umepunguza nusu ya matatizo yako ya kipato na kiroho
iki kinywaji cha savana kiukweli uwa naumia nikimnunulia mtu wakat mm mwenyewe apo maybe nakunywa serengeti liteUnatutia aibu mkuu, unalalama 80k, wakati hiyo no hela ya hotel usiku mmoja Tu??
Garama za chini kulala na mwanamke siku 2 asiyetoka nje ya dar:
Uber 20,000 kwenda na kurudi
Chakula 30,000 siku mbili
Vinywaji 20,000 kama atakunywa savana
Hotel 60,000 za bei rahis siku 2
Akiondoka unampa hata 20,000
Hii ni low bajeti kabisaaaaaa
Wanaume mmeumbwa mateso mkuu.iki kinywaji cha savana kiukweli uwa naumia nikimnunulia mtu wakat mm mwenyewe apo maybe nakunywa serengeti lite



.Sio kubeza Wala kujikuta pesa ni yake starehe ni yake Sasa kwanini aje alalamike huku ingali anajua Kila mtu anamtizamo wake kuhusu starehe n.k pia huku kipato Cha Kila .mtu nitofauti ......mwisho wa siku ukiona analalamika jua amezidi kiwango chake Cha matumiziJf watu wanajikutaga Wana pesa maisha mazuri ,yaan mwanzo mwisho wanamkandia jamaa kuumia kisa kaspend 80k dah hivi kwa maisha gan tulio nayo watz had mkejel 80k?
Wabongo kwa sifa Ni shida kutana nae live utacheka had ufe ,hiz fake I'd zinawastirisha Sana watu ndio maana kujigamba Kama kote.
Jf kila mtu ana degree km sio masters
Jf kila mtu ana ndinga .
Jf kila mtu ana mjengo.
Jf kila mtu anaspend weekend na watoto wazur kidimbwi beach ,The element,sea breeze ,
Yaan ukisikiliza kelele za jf unaweza waza kuwa pengine wewe ndie maskin wa mwisho hapa jf.
Alafu haya maisha hatupo sawa mwingine 80k Ni pesa anayolipwa mwisho wa mwez ,mwingine hiyo Ni vocha kazin kwake ,lakin huyu wa 80k kuspend hiyo pesa kwa cku mbil kwake lazima kiwe kilio Sasa nashangaa watu mnabeza.
Mwenye kipato Cha laki moja hawez honga Zaid ya ten na mwenye kipato Cha kuanzia m1 na kuendelea nae hawez honga ten bal kuanzia 100k Sasa tusibezane .
Kwa jinsi mleta mada alivyoongea kwa uchungu kwake hiyo Ni pesa ndefu Sana pengine kuliko hiyo milion ulionayo wewe.
Achen maisha ya kuigiza watanzania wengi Ni maskin wa kutupwa ,mdomo na usmart ndio vinatustiri hata humo njian .
Unakutana na bint kaulamba balaa Ila kwenye pochi yake Hana hata buku tanovocha za kuombeleza huku anamilik iPhone ,fake fake fake kwa kila kitu
Anakumbuka shuka kumekuchaa...jana nimekaa sehemu nanyonya zangu bia nna kama elfu hamsini kaja mtoto mmoja wa moto anajinunulia bia kajipenyeza wee kaanza nsemesha nikamnunulia round moja nikamkwepa nlijua tu nikimwendekeza gharama zitakuwa juu ijapokuwa ningeenda kumpasua ila ningeingia loss.Unatutia aibu mkuu, unalalama 80k, wakati hiyo no hela ya hotel usiku mmoja Tu??
Garama za chini kulala na mwanamke siku 2 asiyetoka nje ya dar:
Uber 20,000 kwenda na kurudi
Chakula 30,000 siku mbili
Vinywaji 20,000 kama atakunywa savana
Hotel 60,000 za bei rahis siku 2
Akiondoka unampa hata 20,000
Hii ni low bajeti kabisaaaaaa