Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 7,298
- 11,846
Wewe ndio wakujitafakari, kivipi mlango wa kuingilia pesa uwe mdogo afu wakutokea uwe mpana?

Ukiona.unawaza hivo ujue unakaribia kupata ushindi kaza mkuu maisha yetu hayasomeki 80 zikifika kumi na tano ukija huku mlandizi unapata20*20 baadae ingekusaidiaWakuu habari..
Nawaza nilivyo spend kwa huyu msichana lkn at the end I got nothing.
Msichana nimemrushia nauli,kaja kwang kakaa siku 2 tumefanya mapenzi katumia hela,kaondoka nimempa nauli..
Almost nimetumia zaidi ya 80000 kwa siku mbili..nawaza nachoka
Hii pesa ningeisave je? Au familia yang ingefaidi km ningewapa..
Maan natafakari apa nishafany mapenzi lkn sijaon nilichopata kabis zaid ya kuanz kuwaza hela yangu..afu msichana mwenyew sina naye future kabis
Wanaume mnatumia mbinu gani kutospend sna kwa mademu?
Aseee...80k kwa siku mbili ni bajeti ndogo sana ya kuspend na mrembo.
Inategemeana na mfuko wa mtu mzee,80k kwa siku mbili ni bajeti ndogo sana ya kuspend na mrembo.

vocha za kuombeleza huku anamilik iPhone ,fake fake fake kwa kila kituKunywa maji kwanza!RelaxJf watu wanajikutaga Wana pesa maisha mazuri ,yaan mwanzo mwisho wanamkandia jamaa kuumia kisa kaspend 80k dah hivi kwa maisha gan tulio nayo watz had mkejel 80k?
Wabongo kwa sifa Ni shida kutana nae live utacheka had ufe ,hiz fake I'd zinawastirisha Sana watu ndio maana kujigamba Kama kote.
Jf kila mtu ana degree km sio masters
Jf kila mtu ana ndinga .
Jf kila mtu ana mjengo.
Jf kila mtu anaspend weekend na watoto wazur kidimbwi beach ,The element,sea breeze ,
Yaan ukisikiliza kelele za jf unaweza waza kuwa pengine wewe ndie maskin wa mwisho hapa jf.
Alafu haya maisha hatupo sawa mwingine 80k Ni pesa anayolipwa mwisho wa mwez ,mwingine hiyo Ni vocha kazin kwake ,lakin huyu wa 80k kuspend hiyo pesa kwa cku mbil kwake lazima kiwe kilio Sasa nashangaa watu mnabeza.
Mwenye kipato Cha laki moja hawez honga Zaid ya ten na mwenye kipato Cha kuanzia m1 na kuendelea nae hawez honga ten bal kuanzia 100k Sasa tusibezane .
Kwa jinsi mleta mada alivyoongea kwa uchungu kwake hiyo Ni pesa ndefu Sana pengine kuliko hiyo milion ulionayo wewe.
Achen maisha ya kuigiza watanzania wengi Ni maskin wa kutupwa ,mdomo na usmart ndio vinatustiri hata humo njian .
Unakutana na bint kaulamba balaa Ila kwenye pochi yake Hana hata buku tanovocha za kuombeleza huku anamilik iPhone ,fake fake fake kwa kila kitu
Wewe ndio umeongea jambo la msingiInategemeana na mfuko wa mtu mzee,
Jamaa yuko sawa kabisa kwa upande wake sema walio wengi mmeshindwa kuelewa halisi ya maisha yake but ninyi mnafanya comparison na maisha yenu.
Kabisa mkuu unakuta hata mama anashida lakini kumtumia elfu 20 tu nikipengelekupitia huu uzi nimdjua kuwa wanaume wengi ni wazembe kisa ngono...
.
mtu anasema 80k ela ndogo lkn akituma hela nyingi sana kwa mshua wake kijijini ni 30k
.
afu istoshe kutumia hela nyingi kwa hawala sio ujanja ni ulofa tena wa kiwango chalami
Kweli unayosema lakini 80k ni pesa ya mbuzi kwa mtu anaekupa starehe. Siku mbili mzee maana kwa siku amespend 40kJf watu wanajikutaga Wana pesa maisha mazuri ,yaan mwanzo mwisho wanamkandia jamaa kuumia kisa kaspend 80k dah hivi kwa maisha gan tulio nayo watz had mkejel 80k?
Wabongo kwa sifa Ni shida kutana nae live utacheka had ufe ,hiz fake I'd zinawastirisha Sana watu ndio maana kujigamba Kama kote.
Jf kila mtu ana degree km sio masters
Jf kila mtu ana ndinga .
Jf kila mtu ana mjengo.
Jf kila mtu anaspend weekend na watoto wazur kidimbwi beach ,The element,sea breeze ,
Yaan ukisikiliza kelele za jf unaweza waza kuwa pengine wewe ndie maskin wa mwisho hapa jf.
Alafu haya maisha hatupo sawa mwingine 80k Ni pesa anayolipwa mwisho wa mwez ,mwingine hiyo Ni vocha kazin kwake ,lakin huyu wa 80k kuspend hiyo pesa kwa cku mbil kwake lazima kiwe kilio Sasa nashangaa watu mnabeza.
Mwenye kipato Cha laki moja hawez honga Zaid ya ten na mwenye kipato Cha kuanzia m1 na kuendelea nae hawez honga ten bal kuanzia 100k Sasa tusibezane .
Kwa jinsi mleta mada alivyoongea kwa uchungu kwake hiyo Ni pesa ndefu Sana pengine kuliko hiyo milion ulionayo wewe.
Achen maisha ya kuigiza watanzania wengi Ni maskin wa kutupwa ,mdomo na usmart ndio vinatustiri hata humo njian .
Unakutana na bint kaulamba balaa Ila kwenye pochi yake Hana hata buku tanovocha za kuombeleza huku anamilik iPhone ,fake fake fake kwa kila kitu
Pesa ni sabuni ya roho..Aseee...
Wacha tutafute hela.
Sio hata kuwasha vpn kuna website za ngono zipo nyingi yani bila hata kutumia vpnMkuu lengo la kumpa nauli aje hapo geto kwako lilikuwa lipi?
Kama lengo lilikuwa kupunguza kichupa na hela zako za mawazo hivyo ungepiga nyeto tu (unga bando GB hata 2 ingia website pendwa NB:washa VPN kwanza) au unaenda kununua papuchi hadi za 4000 zipo. Ungesave hela kubwa sana .
Karibu sana CHAPUTA vpn
Umeongea point sana mkuuJf watu wanajikutaga Wana pesa maisha mazuri ,yaan mwanzo mwisho wanamkandia jamaa kuumia kisa kaspend 80k dah hivi kwa maisha gan tulio nayo watz had mkejel 80k?
Wabongo kwa sifa Ni shida kutana nae live utacheka had ufe ,hiz fake I'd zinawastirisha Sana watu ndio maana kujigamba Kama kote.
Jf kila mtu ana degree km sio masters
Jf kila mtu ana ndinga .
Jf kila mtu ana mjengo.
Jf kila mtu anaspend weekend na watoto wazur kidimbwi beach ,The element,sea breeze ,
Yaan ukisikiliza kelele za jf unaweza waza kuwa pengine wewe ndie maskin wa mwisho hapa jf.
Alafu haya maisha hatupo sawa mwingine 80k Ni pesa anayolipwa mwisho wa mwez ,mwingine hiyo Ni vocha kazin kwake ,lakin huyu wa 80k kuspend hiyo pesa kwa cku mbil kwake lazima kiwe kilio Sasa nashangaa watu mnabeza.
Mwenye kipato Cha laki moja hawez honga Zaid ya ten na mwenye kipato Cha kuanzia m1 na kuendelea nae hawez honga ten bal kuanzia 100k Sasa tusibezane .
Kwa jinsi mleta mada alivyoongea kwa uchungu kwake hiyo Ni pesa ndefu Sana pengine kuliko hiyo milion ulionayo wewe.
Achen maisha ya kuigiza watanzania wengi Ni maskin wa kutupwa ,mdomo na usmart ndio vinatustiri hata humo njian .
Unakutana na bint kaulamba balaa Ila kwenye pochi yake Hana hata buku tanovocha za kuombeleza huku anamilik iPhone ,fake fake fake kwa kila kitu
Unamtumia au mnatumiana? Kwani Yeye hapati raha?Siku 2 unamtumia asubuhi, mchana na usiku kweli unalalamika mkuu?