Rosicky
JF-Expert Member
- Sep 21, 2015
- 1,204
- 2,072
JF usipotumia akili yako unapotea (pretender ni wengi mno)
Nashangazwa sana na wanaomshangaa mtoa mada huku miezi mitatu iliyopita walikuwa wanalalamikia makato ya tozo na bundle kupanda bei,kwenye nyuzi za madem wanaopenda pesa utawakuta tena wana sulubu vibaya sana.
Leo hii 80k inaonekana ndogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asilimia 90 ya waTz wanaishi chini ya dola moja
usiforce tufanane.