Wakuu
Kiongozi huyu ameonesha wazi ubaguzi dhidi yetu mara kwa mara sasa afahamu kwa mila za sisi wengine kwanza ni kosa kuongozwa na mwanamke, tunakaa kimya sababu ashakua kiongozi kwa misingi ya katiba lakini kwa mila na desturi mimi hua kuongozwa na mwanamke ni mwiko na hua sijadiliani nae chochote.
Vyama vyote natoa wito wanaume nchi nzima tuhakikishe wabunge wa majimbo wote wanakua wanaume, ili tuweze kujitetea Bungeni maana huyu anatubagua hadharani hana nia njema na sisi.
Ni muhimu popote atakapogombea mwanaume hata kwa kumchangia pesa tufanye hivo na iwe nchi nzima, kwa wanaopata muda ukipita hata sehemu mwanaume mwezako anaomba kura simama umuombee hata kura tano,
WANAUME WOTE NI WAPAMBANAJI LAZIMA TUSHIKAMANE TUKICHEKACHEKA MFUMO JIKE WATATUPANDA KICHWANI WAKATI BIBILIA NA QURAN ZINATUTAMBUA KAMA VIONGOZI KIASILI,