Tee wife material
JF-Expert Member
- Jan 15, 2019
- 323
- 350
Hakika,,, Tee wife material nashukuru MUNGU kwa yote coz through all that, Leo nipo hivi nilivyoAisee pole sana Mkuu, ni kumshkuru Mungu kwa kila jambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika,,, Tee wife material nashukuru MUNGU kwa yote coz through all that, Leo nipo hivi nilivyoAisee pole sana Mkuu, ni kumshkuru Mungu kwa kila jambo.
Eh hajakamatwa huyu dada rusha nione basi mtu anavyokata rohoKuna video nmeona jamaa mkongo kawekewa sumu na mkewe halaf akamrekodi wakat anakata roho.
Duh! Nipe link ya hiyo video. Unyama zaidi ya Holocaust!Kuna video nmeona jamaa mkongo kawekewa sumu na mkewe halaf akamrekodi wakat anakata roho.
Ikikupendeza niwekee PM mkuu.Nimetumiwa whtsap sio video nzuri ya kuweka hapa huwezi kuangalia mpk mwisho
Una roho ngumu mama, wataka uone mtu anavyokata roho
You have a point.Sio wao huwa wanasema mwanamke sura tabia wanawaambukiza zao? Sasa wamewaambukiza tabia zao chafu then wanaanza kulia lia[emoji134]
Basi acha tu itanipa mawazo sana,niliona yule dada mkurungezi alieamaliza kuongea na waandishi wa habari halaf akakata roho jamani ikinipa mawazoNimetumiwa whtsap sio video nzuri ya kuweka hapa huwezi kuangalia mpk mwisho
Kwaiyo unamkomoa nani?Sitaki hata kuwasikia, na kuoa nishaghairi.
POle sana. Nauona uchungu uliokuwa nao mpaka imefikia umedhindwa kuweka maneno sawa.Ok in short,,baba yangu alioa mke wa1 ambae ni ma.Mkubwa wakazaa watoto7 but Kwa hao moja hakuwa na mzee,,,,Mzee alikuwa na pesa but ktk vitu watu wanazidiana mamkubwa akapata mchepuko wake alikuwa na pesa coz ya support alivyokuwa anapata Kwa watoto wake waishio USA.So ma mkubwa akatekeleza watoto na ndoa yake,,,,mtoto wa kwanza alimuacha kamaliza la7 wengine wadogo mno.So akatafuta mwenza ili amsaidie kulea hao viumbe wasio na hatia,,. So mwenza uyo ambaye ni mom yangu akaanza kuwalea hao watoto na MUNGU akambariki watoto wake6.Dada zangu na kaka zangu mzee aliwasomesha vizuri sana so wakawa na kazi zao nzuri na wengine wakaenda kufanya kazi Njee.Wakiwa na upendo wa dhati Kwa mzee na mama mlezi wao..Ma mkubwa uko yakawa yamemshinda akawa anajirudi but mzee kashamove on na akawa hapendi why watoto wake wampende mom mlezi sana kuliko yeye..Alichokifanya MUNGU anajua,,,coz alizalisha sumu mbaya sana kwa watoto either Kwa maneno au ata kwa dawa but watoto wake walimchukia baba saaaaanaaa[emoji22][emoji22]na kibaya ata mama na sisi watoto tuliyetoka tumboni kwake[emoji22][emoji22]..Wa kwanza alifikia kumkana mzee kabisa sio baba yake..Mzee coz ya usomi wake na hekima, Kwa watoto waliomuweka mbali alikaa nao mbali ivyo, sisi akatujenga ktk upendo na kibaya fedha nyingi aliwekeza ktk elimu ya watoto wakubwa. Tayari akawa ni mstaafu.Ilifikia hatua baba anaishi maisha magumu pamoja nasi na anawatoto wenye wadhifa wao daaah[emoji22][emoji22][emoji22].Mwisho mzee akaanza kumuumwa serious no one care upande wa watoto wake wakubwa. Na upande wetu wadogo kaka zangu na dada yangu hawana na maisha mazuri sana ikasababisha nistop shule ili kusaidia kaka yangu nayefatana nae ambae ni wapili kutoka mwisho coz alikuwa form6 njee asikwame na mm kuwa karibu na mzee.Mwisho wa siku mzee akasema furaha yake mm last born wake wake niwe mwanamke msomi na hatakufa mpaka anione naanza chuo,,,,Na kingine akaniambia ANAWAPENDA watoto wake wote,,,,haikupita wiki kweli nikaanza chuo nikamuacha home daaah nikiwa nimeahidiana nae kuonana mwez12 likizo daaah haikupita mwezi mzee akafariki[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].(I wish nisingeanza chuo mpaka Leo maybe asingekufa) Kwenye msiba watoto waliomkana walilia sana wakimuamsha waombe msamaha...But hakuamka mpaka Leo..R.IP baba nakupenda sana sana[emoji519][emoji519][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshirikishe Mungu akupe Mwenza sahii. Vinginevyo utajuta kuwa na hawa viume.Hakuna aliye mkamilifu! Naamini hata kina kaka wapo ambao hawaeleweki pia!
Ukiwa serious unamshirikisha Mungu akupe mke ambaye ni sahihi kwako!
Pole sana, kaza moyo.Asante yalishapita but imefanya nimkumbuke baba yangu tu na nilie nikipokua naandika ILI WENGINE wajifunze
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo video imeniharibia sikuyangu juziKuna video nmeona jamaa mkongo kawekewa sumu na mkewe halaf akamrekodi wakat anakata roho.
Naweza kusema ndio wanawake baadhi ni shidah,,,,,but pia naweza kusema ni wanaume,,,.Coz wanaume ndo waanzisha familia so wasipokuwa makini yote yanaweza tokeaTee umeongea wima sana, unakiri kwamba wanawake ni shiida ?
😂😂😂😂😂
Nikushukuru kwa kukiri kwamba wanawake ni chanzo cha matatizo kwa wanaume na wenza wao, wewe ni mtu makini sana, saidieni kuokoa hii dunia, wanawake wanaelekea kuiangusha.Naweza kusema ndio wanawake baadhi ni shidah,,,,,but pia naweza kusema ni wanaume,,,.Coz wanaume ndo waanzisha familia so wasipokuwa makini yote yanaweza tokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume tujihadhari sana na wanawake ambao tunataka kuzaa nao ama kujenga familia!
Maana ukipata mwanamke mpumbavu halafu mkaja mkagombana kwa namna moja ama nyingine na kutokea kuachana atachukua advantage hiyo kuwajaza watoto maneno ya sumu ili msije kamwe mkaelewa na watoto wako mwenyewe!
Hata kama utatoa matumizi yote lakini ataendelea kuwajaza sumu watoto ili uonekane hujali watoto!
Tujihadhari sana na wanawake wa aina hiyo utakuja kufa kwa stress asilimia 99.9%
Sent by Diaspora
Thanks,,,,,,,But nahisi wakuikoa ni nyinyi wanaume sio sisi coz kama mkiamua mnaweza,,,Kwanza mkijitambua,,na kuwa makini kuingia ktk mahusiano either ya ndoa au uhusiano wa kimapenz na wanawake sahihi hakika MTAKUWA mmesaidia kuiokoa hii Dunia...But mkiwa mnaingia Kwa tamaa zenu za mwili,,,mtajikuta mnaingia Kwa wanawake sio na KUIANGUSHA Dunia Kwa kuzalisha viumbe duniani visivyokuja kuwapendeza wazazi na hata MUNGU mwenyewe.Nikushukuru kwa kukiri kwamba wanawake ni chanzo cha matatizo kwa wanaume na wenza wao, wewe ni mtu makini sana, saidieni kuokoa hii dunia, wanawake wanaelekea kuiangusha.