Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,801
- 113,362
Kwani ulichoquote kosa liko wapi? Au ni hisia zako tu!!!Sijawahi pinga na sitokaa pinga au kutetea makosa kwasababu tu mkosaji ana jinsia kama yangu. Kosa ni kosa haijalishwi aliyelitenda rangi gani au jinsia gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaakili sana kakaWanaume tujihadhari sana na wanawake ambao tunataka kuzaa nao ama kujenga familia!
Maana ukipata mwanamke mpumbavu halafu mkaja mkagombana kwa namna moja ama nyingine na kutokea kuachana atachukua advantage hiyo kuwajaza watoto maneno ya sumu ili msije kamwe mkaelewa na watoto wako mwenyewe!
Hata kama utatoa matumizi yote lakini ataendelea kuwajaza sumu watoto ili uonekane hujali watoto!
Tujihadhari sana na wanawake wa aina hiyo utakuja kufa kwa stress asilimia 99.9%
Sent by Diaspora
Uliposema wanaume wanajifanya malaika kitu ambacho aliyetoa uzi hakusema. Na kuhusu kosa hamna kwasababu kila mtu ana maoni yake. Kuhusu hisia naamini kila binadamu ana hisia ndiyo maana hata wewe uliujibu huu uzi.Kwani ulichoquote kosa liko wapi? Au ni hisia zako tu!!!
Kumbe kila mtu ana mawazo yake!! Sasa mbona wewe hutaki nitoe yangu!!!Uliposema wanaume wanajifanya malaika kitu ambacho aliyetoa uzi hakusema. Na kuhusu kosa hamna kwasababu kila mtu ana maoni yake. Kuhusu hisia naamini kila binadamu ana hisia ndiyo maana hata wewe uliujibu huu uzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijayapinga kimihemko na ndio maana kuna community kama hizi ili watu wapimishe hoja kwa lengo la kuburudisha na kuelimisha. Hivyo ukisema mawazo yako yasipingwe haikuwa na haja ya kuyaleta hapa.Kumbe kila mtu ana mawazo yake!! Sasa mbona unayapinga yangu?
Kwahiyo ulitakaje labda!!!?Sijayapinga kimihemko na ndio maana kuna community kama hizi ili watu wapimishe hoja kwa lengo la kuburudisha na kuelimisha. Hivyo ukisema mawazo yako yasipingwe haikuwa na haja ya kuyaleta hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
umekuja kuharibu uzi weweWanawake jihadharini sana kuzaa ama kuolewa na wanaume wapumbavu.
Mwanamke hovyo kabisa, atakae/aliye kuoa pole yake na Mungu ampe wepesi.Kwahiyo ulitakaje labda!!!?
Pole sana ndugu.Ok in short,,baba yangu alioa mke wa1 ambae ni ma.Mkubwa wakazaa watoto7 but Kwa hao moja hakuwa na mzee,,,,Mzee alikuwa na pesa but ktk vitu watu wanazidiana mamkubwa akapata mchepuko wake alikuwa na pesa coz ya support alivyokuwa anapata Kwa watoto wake waishio USA.So ma mkubwa akatekeleza watoto na ndoa yake,,,,mtoto wa kwanza alimuacha kamaliza la7 wengine wadogo mno.So akatafuta mwenza ili amsaidie kulea hao viumbe wasio na hatia,,. So mwenza uyo ambaye ni mom yangu akaanza kuwalea hao watoto na MUNGU akambariki watoto wake6.Dada zangu na kaka zangu mzee aliwasomesha vizuri sana so wakawa na kazi zao nzuri na wengine wakaenda kufanya kazi Njee.Wakiwa na upendo wa dhati Kwa mzee na mama mlezi wao..Ma mkubwa uko yakawa yamemshinda akawa anajirudi but mzee kashamove on na akawa hapendi why watoto wake wampende mom mlezi sana kuliko yeye..Alichokifanya MUNGU anajua,,,coz alizalisha sumu mbaya sana kwa watoto either Kwa maneno au ata kwa dawa but watoto wake walimchukia baba saaaaanaaa[emoji22][emoji22]na kibaya ata mama na sisi watoto tuliyetoka tumboni kwake[emoji22][emoji22]..Wa kwanza alifikia kumkana mzee kabisa sio baba yake..Mzee coz ya usomi wake na hekima, Kwa watoto waliomuweka mbali alikaa nao mbali ivyo, sisi akatujenga ktk upendo na kibaya fedha nyingi aliwekeza ktk elimu ya watoto wakubwa. Tayari akawa ni mstaafu.Ilifikia hatua baba anaishi maisha magumu pamoja nasi na anawatoto wenye wadhifa wao daaah[emoji22][emoji22][emoji22].Mwisho mzee akaanza kumuumwa serious no one care upande wa watoto wake wakubwa. Na upande wetu wadogo kaka zangu na dada yangu hawana na maisha mazuri sana ikasababisha nistop shule ili kusaidia kaka yangu nayefatana nae ambae ni wapili kutoka mwisho coz alikuwa form6 njee asikwame na mm kuwa karibu na mzee.Mwisho wa siku mzee akasema furaha yake mm last born wake wake niwe mwanamke msomi na hatakufa mpaka anione naanza chuo,,,,Na kingine akaniambia ANAWAPENDA watoto wake wote,,,,haikupita wiki kweli nikaanza chuo nikamuacha home daaah nikiwa nimeahidiana nae kuonana mwez12 likizo daaah haikupita mwezi mzee akafariki[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].(I wish nisingeanza chuo mpaka Leo maybe asingekufa) Kwenye msiba watoto waliomkana walilia sana wakimuamsha waombe msamaha...But hakuamka mpaka Leo..R.IP baba nakupenda sana sana[emoji519][emoji519][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume hovyo kabisa, uliemuoa/utakaemuoa pole yake.Mwanamke hovyo kabisa, atakae/aliye kuoa pole yake na Mungu ampe wepesi.
Very Sad Indeed: Hao wakubwa watapata mateso sana uko mbeleniOk in short,,baba yangu alioa mke wa1 ambae ni ma.Mkubwa wakazaa watoto7 but Kwa hao moja hakuwa na mzee,,,,Mzee alikuwa na pesa but ktk vitu watu wanazidiana mamkubwa akapata mchepuko wake alikuwa na pesa coz ya support alivyokuwa anapata Kwa watoto wake waishio USA.So ma mkubwa akatekeleza watoto na ndoa yake,,,,mtoto wa kwanza alimuacha kamaliza la7 wengine wadogo mno.So akatafuta mwenza ili amsaidie kulea hao viumbe wasio na hatia,,. So mwenza uyo ambaye ni mom yangu akaanza kuwalea hao watoto na MUNGU akambariki watoto wake6.Dada zangu na kaka zangu mzee aliwasomesha vizuri sana so wakawa na kazi zao nzuri na wengine wakaenda kufanya kazi Njee.Wakiwa na upendo wa dhati Kwa mzee na mama mlezi wao..Ma mkubwa uko yakawa yamemshinda akawa anajirudi but mzee kashamove on na akawa hapendi why watoto wake wampende mom mlezi sana kuliko yeye..Alichokifanya MUNGU anajua,,,coz alizalisha sumu mbaya sana kwa watoto either Kwa maneno au ata kwa dawa but watoto wake walimchukia baba saaaaanaaa[emoji22][emoji22]na kibaya ata mama na sisi watoto tuliyetoka tumboni kwake[emoji22][emoji22]..Wa kwanza alifikia kumkana mzee kabisa sio baba yake..Mzee coz ya usomi wake na hekima, Kwa watoto waliomuweka mbali alikaa nao mbali ivyo, sisi akatujenga ktk upendo na kibaya fedha nyingi aliwekeza ktk elimu ya watoto wakubwa. Tayari akawa ni mstaafu.Ilifikia hatua baba anaishi maisha magumu pamoja nasi na anawatoto wenye wadhifa wao daaah[emoji22][emoji22][emoji22].Mwisho mzee akaanza kumuumwa serious no one care upande wa watoto wake wakubwa. Na upande wetu wadogo kaka zangu na dada yangu hawana na maisha mazuri sana ikasababisha nistop shule ili kusaidia kaka yangu nayefatana nae ambae ni wapili kutoka mwisho coz alikuwa form6 njee asikwame na mm kuwa karibu na mzee.Mwisho wa siku mzee akasema furaha yake mm last born wake wake niwe mwanamke msomi na hatakufa mpaka anione naanza chuo,,,,Na kingine akaniambia ANAWAPENDA watoto wake wote,,,,haikupita wiki kweli nikaanza chuo nikamuacha home daaah nikiwa nimeahidiana nae kuonana mwez12 likizo daaah haikupita mwezi mzee akafariki[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].(I wish nisingeanza chuo mpaka Leo maybe asingekufa) Kwenye msiba watoto waliomkana walilia sana wakimuamsha waombe msamaha...But hakuamka mpaka Leo..R.IP baba nakupenda sana sana[emoji519][emoji519][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Anajichetua mkuu achana nae.Mwanamke hovyo kabisa, atakae/aliye kuoa pole yake na Mungu ampe wepesi.
PoleOk in short,,baba yangu alioa mke wa1 ambae ni ma.Mkubwa wakazaa watoto7 but Kwa hao moja hakuwa na mzee,,,,Mzee alikuwa na pesa but ktk vitu watu wanazidiana mamkubwa akapata mchepuko wake alikuwa na pesa coz ya support alivyokuwa anapata Kwa watoto wake waishio USA.So ma mkubwa akatekeleza watoto na ndoa yake,,,,mtoto wa kwanza alimuacha kamaliza la7 wengine wadogo mno.So akatafuta mwenza ili amsaidie kulea hao viumbe wasio na hatia,,. So mwenza uyo ambaye ni mom yangu akaanza kuwalea hao watoto na MUNGU akambariki watoto wake6.Dada zangu na kaka zangu mzee aliwasomesha vizuri sana so wakawa na kazi zao nzuri na wengine wakaenda kufanya kazi Njee.Wakiwa na upendo wa dhati Kwa mzee na mama mlezi wao..Ma mkubwa uko yakawa yamemshinda akawa anajirudi but mzee kashamove on na akawa hapendi why watoto wake wampende mom mlezi sana kuliko yeye..Alichokifanya MUNGU anajua,,,coz alizalisha sumu mbaya sana kwa watoto either Kwa maneno au ata kwa dawa but watoto wake walimchukia baba saaaaanaaa[emoji22][emoji22]na kibaya ata mama na sisi watoto tuliyetoka tumboni kwake[emoji22][emoji22]..Wa kwanza alifikia kumkana mzee kabisa sio baba yake..Mzee coz ya usomi wake na hekima, Kwa watoto waliomuweka mbali alikaa nao mbali ivyo, sisi akatujenga ktk upendo na kibaya fedha nyingi aliwekeza ktk elimu ya watoto wakubwa. Tayari akawa ni mstaafu.Ilifikia hatua baba anaishi maisha magumu pamoja nasi na anawatoto wenye wadhifa wao daaah[emoji22][emoji22][emoji22].Mwisho mzee akaanza kumuumwa serious no one care upande wa watoto wake wakubwa. Na upande wetu wadogo kaka zangu na dada yangu hawana na maisha mazuri sana ikasababisha nistop shule ili kusaidia kaka yangu nayefatana nae ambae ni wapili kutoka mwisho coz alikuwa form6 njee asikwame na mm kuwa karibu na mzee.Mwisho wa siku mzee akasema furaha yake mm last born wake wake niwe mwanamke msomi na hatakufa mpaka anione naanza chuo,,,,Na kingine akaniambia ANAWAPENDA watoto wake wote,,,,haikupita wiki kweli nikaanza chuo nikamuacha home daaah nikiwa nimeahidiana nae kuonana mwez12 likizo daaah haikupita mwezi mzee akafariki[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].(I wish nisingeanza chuo mpaka Leo maybe asingekufa) Kwenye msiba watoto waliomkana walilia sana wakimuamsha waombe msamaha...But hakuamka mpaka Leo..R.IP baba nakupenda sana sana[emoji519][emoji519][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app