Wanaume tujihadhari sana na wanawake!

Wanaume tujihadhari sana na wanawake!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,107
Wanaume tujihadhari sana na wanawake ambao tunataka kuzaa nao ama kujenga familia!
Maana ukipata mwanamke mpumbavu halafu mkaja mkagombana kwa namna moja ama nyingine na kutokea kuachana atachukua advantage hiyo kuwajaza watoto maneno ya sumu ili msije kamwe mkaelewa na watoto wako mwenyewe!
Hata kama utatoa matumizi yote lakini ataendelea kuwajaza sumu watoto ili uonekane hujali watoto!
Tujihadhari sana na wanawake wa aina hiyo utakuja kufa kwa stress asilimia 99.9%

Sent by Diaspora
 
ASANTE sana wanaume mkuje msome huu ni ufunuo mwenzenu kafunuliwa na MUNGU ili mtambue[emoji4][emoji4].Ni kwel mwanamke ni chanzo kikubwa cha kuwachukulia advantage watoto ktk mahusiano yaliyokufa...Na mfano halisi wa baba yangu na watoto wa ma mkubwa..But kikubwa ndoa au kuzaa na mtu kunaitaji umakini sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said

Sent by Diaspora
 
Mkuu unaweza funguka kidogo .tupate kujifunza

Tee umeongea wima sana, unakiri kwamba wanawake ni shiida ?
 
Mkuu unaweza funguka kidogo .tupate kujifunza

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok in short,,baba yangu alioa mke wa1 ambae ni ma.Mkubwa wakazaa watoto7 but Kwa hao moja hakuwa na mzee,,,,Mzee alikuwa na pesa but ktk vitu watu wanazidiana mamkubwa akapata mchepuko wake alikuwa na pesa coz ya support alivyokuwa anapata Kwa watoto wake waishio USA.So ma mkubwa akatekeleza watoto na ndoa yake,,,,mtoto wa kwanza alimuacha kamaliza la7 wengine wadogo mno.So akatafuta mwenza ili amsaidie kulea hao viumbe wasio na hatia,,. So mwenza uyo ambaye ni mom yangu akaanza kuwalea hao watoto na MUNGU akambariki watoto wake6.Dada zangu na kaka zangu mzee aliwasomesha vizuri sana so wakawa na kazi zao nzuri na wengine wakaenda kufanya kazi Njee.Wakiwa na upendo wa dhati Kwa mzee na mama mlezi wao..Ma mkubwa uko yakawa yamemshinda akawa anajirudi but mzee kashamove on na akawa hapendi why watoto wake wampende mom mlezi sana kuliko yeye..Alichokifanya MUNGU anajua,,,coz alizalisha sumu mbaya sana kwa watoto either Kwa maneno au ata kwa dawa but watoto wake walimchukia baba saaaaanaaa[emoji22][emoji22]na kibaya ata mama na sisi watoto tuliyetoka tumboni kwake[emoji22][emoji22]..Wa kwanza alifikia kumkana mzee kabisa sio baba yake..Mzee coz ya usomi wake na hekima, Kwa watoto waliomuweka mbali alikaa nao mbali ivyo, sisi akatujenga ktk upendo na kibaya fedha nyingi aliwekeza ktk elimu ya watoto wakubwa. Tayari akawa ni mstaafu.Ilifikia hatua baba anaishi maisha magumu pamoja nasi na anawatoto wenye wadhifa wao daaah[emoji22][emoji22][emoji22].Mwisho mzee akaanza kumuumwa serious no one care upande wa watoto wake wakubwa. Na upande wetu wadogo kaka zangu na dada yangu hawana na maisha mazuri sana ikasababisha nistop shule ili kusaidia kaka yangu nayefatana nae ambae ni wapili kutoka mwisho coz alikuwa form6 njee asikwame na mm kuwa karibu na mzee.Mwisho wa siku mzee akasema furaha yake mm last born wake wake niwe mwanamke msomi na hatakufa mpaka anione naanza chuo,,,,Na kingine akaniambia ANAWAPENDA watoto wake wote,,,,haikupita wiki kweli nikaanza chuo nikamuacha home daaah nikiwa nimeahidiana nae kuonana mwez12 likizo daaah haikupita mwezi mzee akafariki[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].(I wish nisingeanza chuo mpaka Leo maybe asingekufa) Kwenye msiba watoto waliomkana walilia sana wakimuamsha waombe msamaha...But hakuamka mpaka Leo..R.IP baba nakupenda sana sana[emoji519][emoji519][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ukijua wazee wako walifanya nini haiwezi kusumbua. Tukumbuke sisi ni matokeo ya maisha ya kale sasa tukienda tofauti na taratibu za kale lazima tupate tatizo mahali

VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Pole mkuu ...Sasa uyo bmkubwa Na wanae wapo katika Hali Gani .. Pole mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom