Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Nani ambaye haaminiki sasaSiyo hivyo,hamuaminiki kabisa
Nimeona nipishe kwanza uchaguzi wa 2020 halafu vikao vya harusi vitaendelea!
Nani ambaye haaminiki sasaSiyo hivyo,hamuaminiki kabisa
Nimeona nipishe kwanza uchaguzi wa 2020 halafu vikao vya harusi vitaendelea!
Nyie kina dada?Nani ambaye haaminiki sasa
Hakuna aliye mkamilifu! Naamini hata kina kaka wapo ambao hawaeleweki pia!Nyie kina dada?
Upo sahihi kabisa! Ni kumuomba Mungu tu akupe mtu sahihi!Hakuna aliye mkamilifu! Naamini hata kina kaka wapo ambao hawaeleweki pia!
Ukiwa serious unamshirikisha Mungu akupe mke ambaye ni sahihi kwako!
Huwa nawadeku tu wanavyojitia malaika vile, sijui kwanini hiki kizazi cha wanaume ni legelege hivi!! Wamekua watu wa kulia lia tuuu na visingizio visivyo kichwa wala miguu. Sijui tunakosea wapi ktk kuwalea. Napata ukakasi sana na vichwa vya familia vijavyo[emoji134][emoji134] Mungu atusaidie tu kwakweli.Hakuna aliye mkamilifu! Naamini hata kina kaka wapo ambao hawaeleweki pia!
Ukiwa serious unamshirikisha Mungu akupe mke ambaye ni sahihi kwako!
Hakika, huwa tunajisahau tunaongozwa na akili za kibinadamu kwenye suala nyeti la kumpata mwenza!Upo sahihi kabisa! Ni kumuomba Mungu tu akupe mtu sahihi!
Ukiacha kaukorofi unakua na busara sana!
I wish nisikilize story ya upande wa pili[emoji848][emoji848]Ok in short,,baba yangu alioa mke wa1 ambae ni ma.Mkubwa wakazaa watoto7 but Kwa hao moja hakuwa na mzee,,,,Mzee alikuwa na pesa but ktk vitu watu wanazidiana mamkubwa akapata mchepuko wake alikuwa na pesa coz ya support alivyokuwa anapata Kwa watoto wake waishio USA.So ma mkubwa akatekeleza watoto na ndoa yake,,,,mtoto wa kwanza alimuacha kamaliza la7 wengine wadogo mno.So akatafuta mwenza ili amsaidie kulea hao viumbe wasio na hatia,,. So mwenza uyo ambaye ni mom yangu akaanza kuwalea hao watoto na MUNGU akambariki watoto wake6.Dada zangu na kaka zangu mzee aliwasomesha vizuri sana so wakawa na kazi zao nzuri na wengine wakaenda kufanya kazi Njee.Wakiwa na upendo wa dhati Kwa mzee na mama mlezi wao..Ma mkubwa uko yakawa yamemshinda akawa anajirudi but mzee kashamove on na akawa hapendi why watoto wake wampende mom mlezi sana kuliko yeye..Alichokifanya MUNGU anajua,,,coz alizalisha sumu mbaya sana kwa watoto either Kwa maneno au ata kwa dawa but watoto wake walimchukia baba saaaaanaaa[emoji22][emoji22]na kibaya ata mama na sisi watoto tuliyetoka tumboni kwake[emoji22][emoji22]..Wa kwanza alifikia kumkana mzee kabisa sio baba yake..Mzee coz ya usomi wake na hekima, Kwa watoto waliomuweka mbali alikaa nao mbali ivyo, sisi akatujenga ktk upendo na kibaya fedha nyingi aliwekeza ktk elimu ya watoto wakubwa. Tayari akawa ni mstaafu.Ilifikia hatua baba anaishi maisha magumu pamoja nasi na anawatoto wenye wadhifa wao daaah[emoji22][emoji22][emoji22].Mwisho mzee akaanza kumuumwa serious no one care upande wa watoto wake wakubwa. Na upande wetu wadogo kaka zangu na dada yangu hawana na maisha mazuri sana ikasababisha nistop shule ili kusaidia kaka yangu nayefatana nae ambae ni wapili kutoka mwisho coz alikuwa form6 njee asikwame na mm kuwa karibu na mzee.Mwisho wa siku mzee akasema furaha yake mm last born wake wake niwe mwanamke msomi na hatakufa mpaka anione naanza chuo,,,,Na kingine akaniambia ANAWAPENDA watoto wake wote,,,,haikupita wiki kweli nikaanza chuo nikamuacha home daaah nikiwa nimeahidiana nae kuonana mwez12 likizo daaah haikupita mwezi mzee akafariki[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].(I wish nisingeanza chuo mpaka Leo maybe asingekufa) Kwenye msiba watoto waliomkana walilia sana wakimuamsha waombe msamaha...But hakuamka mpaka Leo..R.IP baba nakupenda sana sana[emoji519][emoji519][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
ExactlyWanawake jihadharini sana kuzaa ama kuolewa na wanaume wapumbavu.
Wana tabia ya kutupa lawama kwa jinsia pinzani lakini haipaswi kuwa hivyo!.Huwa nawadeku tu wanavyojitia malaika vile, sijui kwanini hiki kizazi cha wanaume ni legelege hivi!! Wamekua watu wa kulia lia tuuu na visingizio visivyo kichwa wala miguu. Sijui tunakosea wapi ktk kuwalea. Napata ukakasi sana na vichwa vya familia vijavyo[emoji134][emoji134] Mungu atusaidie tu kwakweli.
Sio wao huwa wanasema mwanamke sura tabia wanawaambukiza zao? Sasa wamewaambukiza tabia zao chafu then wanaanza kulia lia[emoji134]Wana tabia ya kutupa lawama kwa jinsia pinzani lakini haipaswi kuwa hivyo!.
Sote ni binadamu lazima tuwe tofauti kwa namna moja ama ingine!
Hahaha hahahaSio wao huwa wanasema mwanamke sura tabia wanawaambukiza zao? Sasa wamewaambukiza tabia zao chafu then wanaanza kulia lia[emoji134]
Naomba uniweke kwenye maombi yako,ili na mimi niweze kumpata mpendwa wangu,nikafurahi kama wengine..Hakika, huwa tunajisahau tunaongozwa na akili za kibinadamu kwenye suala nyeti la kumpata mwenza!
Hahaha hahaha, mecheka sana jamanii, mie mkorofi kwako tuu ujue!
Hizo ni tabia zao wenyewe, bora wangewaacha tu na tabia zao, hivi vilio visingekuwepo.Hahaha hahaha
Nimecheka mnooo jamaniii! Kumbe ndo kauli mbiu yao eeh!
Ko wanapambana na tabia zao wenyewe!
We endelea kuwahudumia watoto wako wakiwa wakubwa watajua nani alikuwa muongo baina ya ninyi wazaziWanaume tujihadhari sana na wanawake ambao tunataka kuzaa nao ama kujenga familia!
Maana ukipata mwanamke mpumbavu halafu mkaja mkagombana kwa namna moja ama nyingine na kutokea kuachana atachukua advantage hiyo kuwajaza watoto maneno ya sumu ili msije kamwe mkaelewa na watoto wako mwenyewe!
Hata kama utatoa matumizi yote lakini ataendelea kuwajaza sumu watoto ili uonekane hujali watoto!
Tujihadhari sana na wanawake wa aina hiyo utakuja kufa kwa stress asilimia 99.9%
Sent by Diaspora
Nakusalimia mjukuu wangu.
Usijali kabisaaa! Naamini Mungu atakupa wa kufanana nawe! Utafurahi na kuuona uzee wako ukiwa na umpendaye!Naomba uniweke kwenye maombi yako,ili na mimi niweze kumpata mpendwa wangu,nikafurahi kama wengine..
Huo ukorofi inabidi uuache kabisa..
Nafikiri wamekusikia!Hizo ni tabia zao wenyewe, bora wangewaacha tu na tabia zao, hivi vilio visingekuwepo.
Nyie ndio mtakua mmetuambukiza tabia zenu mbaya!Sio wao huwa wanasema mwanamke sura tabia wanawaambukiza zao? Sasa wamewaambukiza tabia zao chafu then wanaanza kulia lia[emoji134]