Wanaume tujihadhari sana na wanawake!

Wanaume tujihadhari sana na wanawake!

We endelea kuwahudumia watoto wako wakiwa wakubwa watajua nani alikuwa muongo baina ya ninyi wazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume huwa wanafikiri watoto wanajazwa sumu, wakifikiri watoto ni wajinga sana hawaoni hali halisi. Yawezekana kweli wanajazwa sumu, lakini watoto wana akili pia hivyo wafanye tu nafasi zao kama baba then wataona matokeo yake.
 
Nyie ndio mtakua mmetuambukiza tabia zenu mbaya!
"ishini nao kwa akili"
Kwahiyo mkuu unatuthibitishia kuwa akili hamna hadi mnaazima zetu?!!!!![emoji134][emoji134]
Basi no wonder vilio vya ajabu ajabu kiasi hiki.
 
Usijali kabisaaa! Naamini Mungu atakupa wa kufanana nawe! Utafurahi na kuuona uzee wako ukiwa na umpendaye!

Mie sio mkorofi kabisaaa, Sipendi tuu anko wangu aonewe!
Aisee una maneno ya kutia moyoo sana!mpaka nimeuona uzee wangu ukiwa mzuri kabisa huku bebee akiwa pembeni ananipetipeti!
 
"ishini nao kwa akili"
Kwahiyo mkuu unatuthibitishia kuwa akili hamna hadi mnaazima zetu?!!!!![emoji134][emoji134]
Basi no wonder vilio vya ajabu ajabu kiasi hiki.
Nimezungumzia tabia siyo akili!wakati mwingine nwanaume anaweza akawa mtu mwema kabisa sema tabia za mkewe zikamfanya afanye mambo ambayo hakuwa na mpango wa kuyafanya!
 
hata mm naona, napambana kuachia mtu nisepe zangu
 
Ok in short,,baba yangu alioa mke wa1 ambae ni ma.Mkubwa wakazaa watoto7 but Kwa hao moja hakuwa na mzee,,,,Mzee alikuwa na pesa but ktk vitu watu wanazidiana mamkubwa akapata mchepuko wake alikuwa na pesa coz ya support alivyokuwa anapata Kwa watoto wake waishio USA.So ma mkubwa akatekeleza watoto na ndoa yake,,,,mtoto wa kwanza alimuacha kamaliza la7 wengine wadogo mno.So akatafuta mwenza ili amsaidie kulea hao viumbe wasio na hatia,,. So mwenza uyo ambaye ni mom yangu akaanza kuwalea hao watoto na MUNGU akambariki watoto wake6.Dada zangu na kaka zangu mzee aliwasomesha vizuri sana so wakawa na kazi zao nzuri na wengine wakaenda kufanya kazi Njee.Wakiwa na upendo wa dhati Kwa mzee na mama mlezi wao..Ma mkubwa uko yakawa yamemshinda akawa anajirudi but mzee kashamove on na akawa hapendi why watoto wake wampende mom mlezi sana kuliko yeye..Alichokifanya MUNGU anajua,,,coz alizalisha sumu mbaya sana kwa watoto either Kwa maneno au ata kwa dawa but watoto wake walimchukia baba saaaaanaaa[emoji22][emoji22]na kibaya ata mama na sisi watoto tuliyetoka tumboni kwake[emoji22][emoji22]..Wa kwanza alifikia kumkana mzee kabisa sio baba yake..Mzee coz ya usomi wake na hekima, Kwa watoto waliomuweka mbali alikaa nao mbali ivyo, sisi akatujenga ktk upendo na kibaya fedha nyingi aliwekeza ktk elimu ya watoto wakubwa. Tayari akawa ni mstaafu.Ilifikia hatua baba anaishi maisha magumu pamoja nasi na anawatoto wenye wadhifa wao daaah[emoji22][emoji22][emoji22].Mwisho mzee akaanza kumuumwa serious no one care upande wa watoto wake wakubwa. Na upande wetu wadogo kaka zangu na dada yangu hawana na maisha mazuri sana ikasababisha nistop shule ili kusaidia kaka yangu nayefatana nae ambae ni wapili kutoka mwisho coz alikuwa form6 njee asikwame na mm kuwa karibu na mzee.Mwisho wa siku mzee akasema furaha yake mm last born wake wake niwe mwanamke msomi na hatakufa mpaka anione naanza chuo,,,,Na kingine akaniambia ANAWAPENDA watoto wake wote,,,,haikupita wiki kweli nikaanza chuo nikamuacha home daaah nikiwa nimeahidiana nae kuonana mwez12 likizo daaah haikupita mwezi mzee akafariki[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].(I wish nisingeanza chuo mpaka Leo maybe asingekufa) Kwenye msiba watoto waliomkana walilia sana wakimuamsha waombe msamaha...But hakuamka mpaka Leo..R.IP baba nakupenda sana sana[emoji519][emoji519][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
Daa pole sana Tee wife material, kwa hali hii unaweza kuona hamna haja ya kuoa kama mambo yenyewe ndio haya!
 
Nimezungumzia tabia siyo akili!wakati mwingine nwanaume anaweza akawa mtu mwema kabisa sema tabia za mkewe zikamfanya afanye mambo ambayo hakuwa na mpango wa kuyafanya!
Kwahiyo wewe akili unafikiri ni zile za darasani na hazihusiani na tabia?
Ukiona mtu amekuinfluence kufanya jambo ambalo hukutaka kulifanya basi jua huyo mtu ana akilii kukuzidi.
 
Sawa!
 
Ok in short,,baba yangu alioa mke wa1 ambae ni ma.Mkubwa wakazaa watoto7 but Kwa hao moja hakuwa na mzee,,,,Mzee alikuwa na pesa but ktk vitu watu wanazidiana mamkubwa akapata mchepuko wake alikuwa na pesa coz ya support alivyokuwa anapata Kwa watoto wake waishio USA.So ma mkubwa akatekeleza watoto na ndoa yake,,,,mtoto wa kwanza alimuacha kamaliza la7 wengine wadogo mno.So akatafuta mwenza ili amsaidie kulea hao viumbe wasio na hatia,,. So mwenza uyo ambaye ni mom yangu akaanza kuwalea hao watoto na MUNGU akambariki watoto wake6.Dada zangu na kaka zangu mzee aliwasomesha vizuri sana so wakawa na kazi zao nzuri na wengine wakaenda kufanya kazi Njee.Wakiwa na upendo wa dhati Kwa mzee na mama mlezi wao..Ma mkubwa uko yakawa yamemshinda akawa anajirudi but mzee kashamove on na akawa hapendi why watoto wake wampende mom mlezi sana kuliko yeye..Alichokifanya MUNGU anajua,,,coz alizalisha sumu mbaya sana kwa watoto either Kwa maneno au ata kwa dawa but watoto wake walimchukia baba saaaaanaaa[emoji22][emoji22]na kibaya ata mama na sisi watoto tuliyetoka tumboni kwake[emoji22][emoji22]..Wa kwanza alifikia kumkana mzee kabisa sio baba yake..Mzee coz ya usomi wake na hekima, Kwa watoto waliomuweka mbali alikaa nao mbali ivyo, sisi akatujenga ktk upendo na kibaya fedha nyingi aliwekeza ktk elimu ya watoto wakubwa. Tayari akawa ni mstaafu.Ilifikia hatua baba anaishi maisha magumu pamoja nasi na anawatoto wenye wadhifa wao daaah[emoji22][emoji22][emoji22].Mwisho mzee akaanza kumuumwa serious no one care upande wa watoto wake wakubwa. Na upande wetu wadogo kaka zangu na dada yangu hawana na maisha mazuri sana ikasababisha nistop shule ili kusaidia kaka yangu nayefatana nae ambae ni wapili kutoka mwisho coz alikuwa form6 njee asikwame na mm kuwa karibu na mzee.Mwisho wa siku mzee akasema furaha yake mm last born wake wake niwe mwanamke msomi na hatakufa mpaka anione naanza chuo,,,,Na kingine akaniambia ANAWAPENDA watoto wake wote,,,,haikupita wiki kweli nikaanza chuo nikamuacha home daaah nikiwa nimeahidiana nae kuonana mwez12 likizo daaah haikupita mwezi mzee akafariki[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].(I wish nisingeanza chuo mpaka Leo maybe asingekufa) Kwenye msiba watoto waliomkana walilia sana wakimuamsha waombe msamaha...But hakuamka mpaka Leo..R.IP baba nakupenda sana sana[emoji519][emoji519][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu. Dunia tambara bovu,
 
Back
Top Bottom