Wanaume tujihadhari sana na wanawake!

Wanaume tujihadhari sana na wanawake!

ASANTE sana wanaume mkuje msome huu ni ufunuo mwenzenu kafunuliwa na MUNGU ili mtambue[emoji4][emoji4].Ni kwel mwanamke ni chanzo kikubwa cha kuwachukulia advantage watoto ktk mahusiano yaliyokufa...Na mfano halisi wa baba yangu na watoto wa ma mkubwa..But kikubwa ndoa au kuzaa na mtu kunaitaji umakini sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe huo mkasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok in short,,baba yangu alioa mke wa1 ambae ni ma.Mkubwa wakazaa watoto7 but Kwa hao moja hakuwa na mzee,,,,Mzee alikuwa na pesa but ktk vitu watu wanazidiana mamkubwa akapata mchepuko wake alikuwa na pesa coz ya support alivyokuwa anapata Kwa watoto wake waishio USA.So ma mkubwa akatekeleza watoto na ndoa yake,,,,mtoto wa kwanza alimuacha kamaliza la7 wengine wadogo mno.So akatafuta mwenza ili amsaidie kulea hao viumbe wasio na hatia,,. So mwenza uyo ambaye ni mom yangu akaanza kuwalea hao watoto na MUNGU akambariki watoto wake6.Dada zangu na kaka zangu mzee aliwasomesha vizuri sana so wakawa na kazi zao nzuri na wengine wakaenda kufanya kazi Njee.Wakiwa na upendo wa dhati Kwa mzee na mama mlezi wao..Ma mkubwa uko yakawa yamemshinda akawa anajirudi but mzee kashamove on na akawa hapendi why watoto wake wampende mom mlezi sana kuliko yeye..Alichokifanya MUNGU anajua,,,coz alizalisha sumu mbaya sana kwa watoto either Kwa maneno au ata kwa dawa but watoto wake walimchukia baba saaaaanaaa[emoji22][emoji22]na kibaya ata mama na sisi watoto tuliyetoka tumboni kwake[emoji22][emoji22]..Wa kwanza alifikia kumkana mzee kabisa sio baba yake..Mzee coz ya usomi wake na hekima, Kwa watoto waliomuweka mbali alikaa nao mbali ivyo, sisi akatujenga ktk upendo na kibaya fedha nyingi aliwekeza ktk elimu ya watoto wakubwa. Tayari akawa ni mstaafu.Ilifikia hatua baba anaishi maisha magumu pamoja nasi na anawatoto wenye wadhifa wao daaah[emoji22][emoji22][emoji22].Mwisho mzee akaanza kumuumwa serious no one care upande wa watoto wake wakubwa. Na upande wetu wadogo kaka zangu na dada yangu hawana na maisha mazuri sana ikasababisha nistop shule ili kusaidia kaka yangu nayefatana nae ambae ni wapili kutoka mwisho coz alikuwa form6 njee asikwame na mm kuwa karibu na mzee.Mwisho wa siku mzee akasema furaha yake mm last born wake wake niwe mwanamke msomi na hatakufa mpaka anione naanza chuo,,,,Na kingine akaniambia ANAWAPENDA watoto wake wote,,,,haikupita wiki kweli nikaanza chuo nikamuacha home daaah nikiwa nimeahidiana nae kuonana mwez12 likizo daaah haikupita mwezi mzee akafariki[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].(I wish nisingeanza chuo mpaka Leo maybe asingekufa) Kwenye msiba watoto waliomkana walilia sana wakimuamsha waombe msamaha...But hakuamka mpaka Leo..R.IP baba nakupenda sana sana[emoji519][emoji519][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sad story......pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubinafsi ubinafsi ubinafsi ni chanzo kikubwa cha mifarakano katika mahusiano ya ndoa. Siongei kwa ubaya ila wanaume wanamaono sana na sio wabinafsi katika kujali hisia. Mungu atusaidie katika hili ila daaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks,,,,,,,But nahisi wakuikoa ni nyinyi wanaume sio sisi coz kama mkiamua mnaweza,,,Kwanza mkijitambua,,na kuwa makini kuingia ktk mahusiano either ya ndoa au uhusiano wa kimapenz na wanawake sahihi hakika MTAKUWA mmesaidia kuiokoa hii Dunia...But mkiwa mnaingia Kwa tamaa zenu za mwili,,,mtajikuta mnaingia Kwa wanawake sio na KUIANGUSHA Dunia Kwa kuzalisha viumbe duniani visivyokuja kuwapendeza wazazi na hata MUNGU mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya makosa makubwa mnayoyafanya wanawake ni kumwambia mwanaume ajitambue, hili ni kosa kubwa sana, ni maagizo ya MUNGU kwamba mwanamke imempasa kumheshimu mwanamme, hili ni agizo na halina discussion, kumwambia mtu ajitambue ni kumvunjia heshima, mwanaume ndie kichwa cha familia, mjiepushe kuwatamkia wanaume maneno yenye kuudhi ili kuifanya Dunia hii mahala salama pa kuishi, ukimchukiza mwanaume unamchukiza MUNGU pia
 
Haya mambo ukijua wazee wako walifanya nini haiwezi kusumbua. Tukumbuke sisi ni matokeo ya maisha ya kale sasa tukienda tofauti na taratibu za kale lazima tupate tatizo mahali

VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
we rijamaa ni riILLUMINATI
 
Huwa nawadeku tu wanavyojitia malaika vile, sijui kwanini hiki kizazi cha wanaume ni legelege hivi!! Wamekua watu wa kulia lia tuuu na visingizio visivyo kichwa wala miguu. Sijui tunakosea wapi ktk kuwalea. Napata ukakasi sana na vichwa vya familia vijavyo[emoji134][emoji134] Mungu atusaidie tu kwakweli.
Wewe ndio wale mliodanganywa kuwa mwanaume ana roho ya chuma. Mwanaume ni binadamu kama wewe, anahisi maumivu kama viumbe wengine. Halafu sio lazima upinge kila kitu kinachozungumzwa kuhusu jinsia fulani kwasababu tu upo katika jinsia hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjihadhari kivipi? Wanawake walikuwepo, bado wapo na wataendelea kuwepo. Cha kuchekesha zaidi hamuwezi kuishi bila wanawake
 
Kumbe suala la ubinadamu mnalijua[emoji134][emoji134]
Thot nyie ni malaika!!!!
Nawe usipinge kila linalozungumzwa kuhusu jinsia yako.
Sijawahi pinga na sitokaa pinga au kutetea makosa kwasababu tu mkosaji ana jinsia kama yangu. Kosa ni kosa haijalishwi aliyelitenda rangi gani au jinsia gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok in short,,baba yangu alioa mke wa1 ambae ni ma.Mkubwa wakazaa watoto7 but Kwa hao moja hakuwa na mzee,,,,Mzee alikuwa na pesa but ktk vitu watu wanazidiana mamkubwa akapata mchepuko wake alikuwa na pesa coz ya support alivyokuwa anapata Kwa watoto wake waishio USA.So ma mkubwa akatekeleza watoto na ndoa yake,,,,mtoto wa kwanza alimuacha kamaliza la7 wengine wadogo mno.So akatafuta mwenza ili amsaidie kulea hao viumbe wasio na hatia,,. So mwenza uyo ambaye ni mom yangu akaanza kuwalea hao watoto na MUNGU akambariki watoto wake6.Dada zangu na kaka zangu mzee aliwasomesha vizuri sana so wakawa na kazi zao nzuri na wengine wakaenda kufanya kazi Njee.Wakiwa na upendo wa dhati Kwa mzee na mama mlezi wao..Ma mkubwa uko yakawa yamemshinda akawa anajirudi but mzee kashamove on na akawa hapendi why watoto wake wampende mom mlezi sana kuliko yeye..Alichokifanya MUNGU anajua,,,coz alizalisha sumu mbaya sana kwa watoto either Kwa maneno au ata kwa dawa but watoto wake walimchukia baba saaaaanaaa[emoji22][emoji22]na kibaya ata mama na sisi watoto tuliyetoka tumboni kwake[emoji22][emoji22]..Wa kwanza alifikia kumkana mzee kabisa sio baba yake..Mzee coz ya usomi wake na hekima, Kwa watoto waliomuweka mbali alikaa nao mbali ivyo, sisi akatujenga ktk upendo na kibaya fedha nyingi aliwekeza ktk elimu ya watoto wakubwa. Tayari akawa ni mstaafu.Ilifikia hatua baba anaishi maisha magumu pamoja nasi na anawatoto wenye wadhifa wao daaah[emoji22][emoji22][emoji22].Mwisho mzee akaanza kumuumwa serious no one care upande wa watoto wake wakubwa. Na upande wetu wadogo kaka zangu na dada yangu hawana na maisha mazuri sana ikasababisha nistop shule ili kusaidia kaka yangu nayefatana nae ambae ni wapili kutoka mwisho coz alikuwa form6 njee asikwame na mm kuwa karibu na mzee.Mwisho wa siku mzee akasema furaha yake mm last born wake wake niwe mwanamke msomi na hatakufa mpaka anione naanza chuo,,,,Na kingine akaniambia ANAWAPENDA watoto wake wote,,,,haikupita wiki kweli nikaanza chuo nikamuacha home daaah nikiwa nimeahidiana nae kuonana mwez12 likizo daaah haikupita mwezi mzee akafariki[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].(I wish nisingeanza chuo mpaka Leo maybe asingekufa) Kwenye msiba watoto waliomkana walilia sana wakimuamsha waombe msamaha...But hakuamka mpaka Leo..R.IP baba nakupenda sana sana[emoji519][emoji519][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana sister. Imenigusa sana hii story
 
Back
Top Bottom