Wanaume tuhonge, shauri zenu!

Wanaume tuhonge, shauri zenu!

😂😂Lkn sio wote jamni
Upo sahihi bidada mimi mwenyewe napenda mwanamke ambaye ananijali asiyenijali napiga chini kwa huyo dada inategemea na mahali na culture ya huyo mwanaume ametokea lakini kwa hawa wa dar wengi wao wanapenda wanawake wanaowajali
 
Ni kweli
 
Back
Top Bottom