Wanaume tuhonge, shauri zenu!

Wanaume tuhonge, shauri zenu!

Hata ukibana Sana unadhani utazikwa Nazo?,hapana mkuu usikunje Sana moyo
Nyie wadada wengi, 98% of you, hamfanyagi upumbavu ambao sisi wanaume tunafanyaga, angalia hata rafiki zako wa kike uniambie, mdada ukiwa na million 5 kwenye account ambayo haina kazi nina imani kwenye kichwa chako hutafikiria kabisa wala hutaweka bajeti ya kumhonga mwanaume hela ili akupe dushe, ila kwa sisi wanaume mtu ukiwa na million 5 kwenye account isiyo na kazi jua fika laki 3 inaweza tumika kuwahonga wadada hela ili tupate ngono, kwanza sisi wanaume tunavojipendekeza kwenu kuwahonga pesa na kuwatongoza tongoza, huwaga tunajidhalilisha sana tu kwa vile hatujui

Pesa hainunui upendo, kama mwanamke ananiona mimi nina sura mbaya kama sokwe, hata nikimuhonga ghorofa zote daresalamm, bado ataendelea kuniona sokwe, sanasana ataigiza ananipenda, ili aendelee kunichuna hela..ni mwanaume mjinga ndo atafikiria akihonga pesa Ndo atapendwa

Nitahonga Mwanamke kama kumsaidia tu, as long as hiyo hela hainiumi, ila kiroho roho najua sina mtu hapo Beesmom sophy27
 
Kuna tuviatu twa kiume nimetuona Leo moyo umeniuma kweli....Sina roho ya kwann napenda kununulia zawadi mume wangu kiukweli....ila Ndo Ivo Sina bahati
 
Nyie wadada wengi, 98% of you, hamfanyagi upumbavu ambao sisi wanaume tunafanyaga, angalia hata rafiki zako wa kike uniambie, mdada ukiwa na million 5 kwenye account ambayo haina kazi nina imani kwenye kichwa chako hutafikiria kabisa wala hutaweka bajeti ya kumhonga mwanaume hela ili akupe dushe, ila kwa sisi wanaume mtu ukiwa na million 5 kwenye account isiyo na kazi jua fika laki 3 inaweza tumika kuwahonga wadada hela ili tupate ngono, kwanza sisi wanaume tunavojipendekeza kwenu kuwahonga pesa na kuwatongoza tongoza, huwaga tunajidhalilisha sana tu kwa vile hatujui

Pesa hainunui upendo, kama mwanamke ananiona mimi nina sura mbaya kama sokwe, hata nikimuhonga ghorofa zote daresalamm, bado ataendelea kuniona sokwe, sanasana ataigiza ananipenda, ili aendelee kunichuna hela..ni mwanaume mjinga ndo atafikiria akihonga pesa Ndo atapendwa

Nitahonga Mwanamke kama kumsaidia tu, as long as hiyo hela hainiumi, ila kiroho roho najua sina mtu hapo Beesmom sophy27
Dah sawa Kwan kuhonga kupoje na kumtimizia mahitaji unayoyaweza mpenzwako ni kitugani? labda km unazungumzia mwanaume mwenye wasichana wengi au lah yulee ambae hatulii yupo na kilamwanamke lkn km unamtu mmoja sidhani kama kunashida mahali maana hta huyo mpenz wako anaweza kukutoa sikumoja moja
 
Bora upoteze pesa kwenye starehe na sio kwenye biashara. Hasara ya biashara inaumiza Sana ukifikiria pesa. Tofauti na uliyokulia bata hata ukiwa juu ya mawe utabakia kusema enzi zetu bwana. Then unapata faraja, kuliko huna kitu then ukifikiria ningejua ile pesa nisingefungua biashara. Bora ningefungulia zipu na chupa.
😂😂😂
Nimecheka kifala mkuu daah unanikumbusha nilikung'uta 1.5M siku 3 tu zikakata zote ni tungi nyama tungi nyama nikitoka naenda kung'uta mtoto mmoja mwenye bonge la Tako somewhere hadi kibunda kikata
😜
 
Vipi ungeiweka kwenye kilimo then ikaliwa yote si ungeumia sana, tofauti na starehe unajifariji ukiikumbukia
 
Back
Top Bottom