Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,281
Binafsi sioni shida yoyote kuona mwanaume akilia kilio cha mbwa mwizi kwa kuibiwa bar au kukimbiwa hotel na mtoto wa kike, TUACHE kuwatupia lawama wanaume wenzetu na kuona maboya, wajinga n.k, halafu siku hizi kuna tu mada twa ajabu ajabu kweli twa kuwasema wanaume wanaohonga kuwa ni nice guys, washamba n.k!
Huu ni ushamba bhana. Hela ni zao, wanatafuta wenyewe na wana haki ya kumnyima na kumpa wamatakaye. TZ ni nchi huru na kila mmoja ana uhuru wa kutumia pesa zake atakavyo mradi tu havunji sheria.
Mwanaume hongaaa bhana. Kujenga ni maamuzi, hela inatafutwa ili wale wanawake. Hao ni mbavu zetu. Kama hiyo haitoshi dunia nzima inaendeswa na wao. Yaani wana run dunia, so lazima wale vyetu.
Na hata ukigharamia 2M+ na hujapewa papuchi usikonde, pambana tafuta nyingine coz hela inatafutwa. Usilalamike wala kulaumu huo ndiyo uanaume.
Lewa, lala baa, zima wakurudishe kwenu asubuhi, honga malaya, honga bila kugeuka nyuma ndiyo matumizi ya pesa hayo kwani unavunja sheria bhana??
Hata maandiko yanasema ni vibaya kulima na kugeuka nyuma. Honga! Honga! Honga! Zikiisha tafuta zingine kwa bidii.
Nenda viwanja, toa malaya out na mashoga zao, hivi kuna kitu kizuri kama kusifiwa na mwanamke kweli?? Hakunaaaa!
Hela ni zako. Wasikupangie bhana, hata kukopa kakope demu wako afurahie maisha. Mwanamke ni wa kupokea. Hata akiwa na 30M ndani, lazima utoe buku 2 lako mnunue viberiti muwashe jiko mpike. Lazima ukakope umuuguze.
Hela ya mwanamke ni sumu na haiguswi wanaume. Nawafunda leo.
Honga sanaaaa
Msiseme sikuwaambia.
Tusipangiane bhana kujenga kitu gani kwanza? Tunaweka heshima, heshima ndiyo muhimu bhana!
Yaani naandika hili ila mikono inawasha kinoma najisikia kutoa 500k TZS hapa kwa mrembo flani hivi amazing sanaaa.
Na na plan nimualike dinner jioni...
Tumia pesa, honga, weka heshima! Tusipangiane.