kwetumasoko
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 866
- 518
Hivi, kwani mwanamke hawezi kumpa mwanaume pesa?mimi mwanamme anaenipa nipa vijisent ananiroga kabisa kuna mmoja alinipa hela ya saluni japo hajanitongoza wala nini ila nimemuona mwanaume sana japo hela yenyewe ndogo hata laki haifiki ila katika wanaume nae yumo .
upendo hauchaguiNayo ni hongo tu, unatumia mbinu fulani ili akupende, huenda ili akupe tunda...
Ni pm namba yako nikutigopesaHela ya mwanaume tamu saaanaa......
Kuhanga ili kupata nini mkuu ili tupate muelekeo?Hivi kuna mwanaume ambaye hajawahi kuhonga?. Kama umewahi kuhonga dau lako kubwa kabisa lilikuwa sh ngapi?
Heheh halafu tunaitumiaga rafu sana hahahHela ya mwanaume tamu saaanaa......
una hakika hatutoi? nipe uoneHivi, kwani mwanamke hawezi kumpa mwanaume pesa?
Hajafanikiwa kuruka ukuta kwel,maana mkihongwa vzr hata huko mko radhi msukumwe ya Leo yatoke keshomimi mwanamme anaenipa nipa vijisent ananiroga kabisa kuna mmoja alinipa hela ya saluni japo hajanitongoza wala nini ila nimemuona mwanaume sana japo hela yenyewe ndogo hata laki haifiki ila katika wanaume nae yumo .
Kuhonga ni dalili ya kulazimisha mapenzi
Ndio maana mnaisimamia kama kangaroo...!!Heheh halafu tunaitumiaga rafu sana hahah
Mimi nahonga maneno tu.Hivi kuna mwanaume ambaye hajawahi kuhonga?. Kama umewahi kuhonga dau lako kubwa kabisa lilikuwa sh ngapi?
Yaaani acha tu nnavyoipangia bajeti sasa.... Mungu azidi tu kuwabariki hawa viumbe waendelee kutupa pesa zaidi na zaidHeheh halafu tunaitumiaga rafu sana hahah
Mtazamo wako ni mzuri saana......na madungaembe ya humu yanatakiwa kuufataHapana Mkuu si kulazimisha penzi bhana. Unapita madukani unaona gauni zuri sana, au viatu au handbag unasema duh! Hii gauni itampendeza sana au viatu unapoamua kununua kama zawadi ni kulazimisha penzi!? Au anakwambia kuna lile gauni nimelipenda nahitaji kiasi kadhaa ili kulinunua ukimpa unalazimisha penzi!? Mie mtazamo wangu ni tofauti.
Hivi kuna mwanaume ambaye hajawahi kuhonga?. Kama umewahi kuhonga dau lako kubwa kabisa lilikuwa sh ngapi?