Wanaume: Tuacheni tuolewe basi

Lakini na ww mwanamke siusubiri man wako apropose mwenyewe willingly haraka ya nini ukiona hasomeki unasepa

ahahahaaa ni pale ambapo mnaowafuata wote wanakuwa na mawazo hayo hapo ndio shida zinapowakuta
 
na wao pia wanang'ang'ania kuoa ati umri umeshaenda
 
ahahahaaa ni pale ambapo mnaowafuata wote wanakuwa na mawazo hayo hapo ndio shida zinapowakuta

Hahahahaaa do i sound like a man??? For cryin out loud am juc a gal like u mydia. Lakini tubadilikeni haya mawazo yakuoa na kuolewa tusiyatumie kama kigezo chakupata wenzi mawazo ya ndoa yatakuja yenyewe tuu mda utakapo wadia.
 
na wao pia wanang'ang'ania kuoa ati umri umeshaenda

wanasema tuu ila kwa matendo hawaonyeshi na hili ndo tatizo

hawataki kujipanga,hawako responsible ni shida sana

sisi na wao woote unakuta umri unaenda tuu
 
Hahahahaaa do i sound like a man??? For cryin out loud am juc a gal like u mydia. Lakini tubadilikeni haya mawazo yakuoa na kuolewa tusiyatumie kama kigezo chakupata wenzi mawazo ya ndoa yatakuja yenyewe tuu mda utakapo wadia.

ahahahaaa even ID yako jamani labda ungeweka picha ndio ningegundua
 
wanasema tuu ila kwa matendo hawaonyeshi na hili ndo tatizo

hawataki kujipanga,hawako responsible ni shida sana

sisi na wao woote unakuta umri unaenda tuu

hii ni ligi afu wachezaje wanaikimbia asa sijui tutafika tuendapo
 
wanaume wakubali wakatae ndoa kwao ni changamoto na wengi waoga, tukisema serias wanawake tuache kuwaambia wenzi wetu kuhusu ndoa , mwanaume atakayethubutu kuongelea ndoa labda akiwahi ni 40 years na hapa watakua wanahesabika, ni waoga balaa lakini akishaingia anaanza ooh mke muhimu oooh mambo yangu yananyooka aoohhh faida kibao
 
NYONGEZA: "nimeona katika wote wewe ni wife material natamani nikuoe hata kesho" hapo mta date miaka mingi tuuu kimyaaa. what the f*** mutuwacheeeee
 
hii habari ya kuoa wake wengi inabidi bunge la katiba iwekwe na iwe haki ya halali,ya msingi na ya lazima.Ili ku accomodate walio kata tamaa.

Hata hao walio kwenye ndoa nyingi ukiuliza view zao utapata makubwa zaidi ya unavofikiri.
 
'fake generation' nimemkumbuka mwalimu wangu wa mashairi
 
Leo nimepigiwa simu my new girl friend anaulizia lini nitaenda kujitambulisha kwa wazazi wake!Nina weeks ya 2 sasa nae kwenye mahusiano lkn tayari mentality yake ipo kwenye ndoa ahahahaha!Ana miaka 24 sasa!

Mo mumooo malafyale hahahahaha
 
Usiisemee mioyo ya watu wenye ndoa I thought upo kwenye ndoa.
 
Usiisemee mioyo ya watu wenye ndoa I thought upo kwenye ndoa.

Kwani kuna haja yakuisemea mioyo best wakati mambo yapo nje nje, bt sisemi kwa ubaya najua kuna ndoa zipo vizuri tuu na naombea hata izo ambazo hazipo fresh Mungu aweke mkono wake.
 
Kula like mkuu
 
Je upi ni muda sahihi wa kuoa au kuolewa?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…