Kisebengo Kibobori
JF-Expert Member
- Oct 29, 2016
- 295
- 544
Imeimbwa "Huna mchuzi, no excuse."
Tafuta mpunga uone balaa lake hadi wake za watu watakwambia wako single
Tafuta mpunga uone balaa lake hadi wake za watu watakwambia wako single
Chooni atakuwa anaenda kujisaidia mchanga saio? atashinda amepauka na kunuka jasho sio? ata.....ata....atakula upepo sio? THUBUTUUUUUTafuta wa kwako,weka ndani utakuwa hutoi pesa
Ni kweli, japo hamna unachokiepuka.😀 Suluhisho ni KUOA
Kijana naturally wanaume tumeumbwa na uhitaji wa ngono kuliko wao kitu ambacho kimewapa advantage wanawake kufanya tendo hili liwe la kibiashara hasa baada ya sodoma na ghomorrah.Kuna kitu kina nishangaza sana, inakuaje tutoe hela ili kupata penzi wakati inasemekana wanawake hupata raha zaidi wakati wa tendo kuliko sisi wanaume. Sitoi hela mimi bora nipaki kuwa dume kaptura tu
Nikupm miss chagga?maana comment zako huwa zimeenda shulehapna acha kuchocha wenzio .. nani anayeomba game ni wewe? kama napata raha uwe unasubiria na mimi nikombe game ili usinipe pesa.. sasa hapo ndiyo utajua vidole havilingani
Karibu mkuuNikupm miss chagga?maana comment zako huwa zimeenda shule
Kuna kitu kina nishangaza sana, inakuaje tutoe hela ili kupata penzi wakati inasemekana wanawake hupata raha zaidi wakati wa tendo kuliko sisi wanaume. Sitoi hela mimi bora nipaki kuwa dume kaptura tu
😛😛Wanasayansi Wanasema kumtazama msichana mzuri kwa muda wa dakika 5, ni nzuri kiafya na ni faida sawa na mtu anayenyanyua vyuma gym
Asipokuelewa atakuwa cio mwnzenu [emoji85] [emoji5] [emoji5]Bwana dume kapura
Wanawake Wana matumizi mengi kichizi .. Nsinge ita kuhonga.. Kwa msichana asiye wa mjini
Ili soft kama wengine wakawaida 15,000/=itamuhitaji kwa mwezi, ssabuni, lotion...
Nywele za kawaida za kufumuka wiki mbili 20,000/=na makolokolo
Hakai na Kaptura moja wiki nzima kama wewe.. Anavaa gauni, sketi, blouse, bra, tight, chupi, bikini, boxer, T-shirt, night dress, tops, stokins,.................... N. K
Anavaa vitu vya kawaida, simple, saddles, Raba, heels, ndala,...
Ana Majukumu Kila mwezi na usafi na nguo Zake.....,
we're bado unataka.... Dawa after sexpills ama azuie vingine kisa hupendi condoms,
Ummpe mawazo baada ya kufanya mambo
Yako, awaze Jamii inamchuliaje kimuonekano anavokuja kwako, he unampenda ubaridhika nae, he Anajua, ama unamtamani anae tunzwa? he Minna imeingia? Ikiingia utaikubali? Nknk
Sijataja vingi Sana... Hata awe anapokea shilingi ngapi mshahara wake hauwezi kutosha kamwe.. Pochi, vyakula, kutamani,
Utafiti.. Sex ni ya 14 baada ya gardening kwa mwanamke ila tumetofautiana
Girl in need can not be truly happy
That's why girls sells sex and boys buys it.cause boys needs it more and girls have it more...
Prevent your girl this mess. Take care of her..
Mtani bahati yenu mungekuwa nyie ndiyo waombaji mtu asingepata kitombeo changu kirahisi aisei..hapna acha kuchocha wenzio .. nani anayeomba game ni wewe? kama napata raha uwe unasubiria na mimi nikombe game ili usinipe pesa.. sasa hapo ndiyo utajua vidole havilingani
Kweli aiseeKijana naturally wanaume tumeumbwa na uhitaji wa ngono kuliko wao kitu ambacho kimewapa advantage wanawake kufanya tendo hili liwe la kibiashara hasa baada ya sodoma na ghomorrah.
Ukweli hata mimi sipendagi kuhonga na hasa nikifikiria wenyewe wako wengi zaidi ya mbili yetu sisi, lakini ndio hivyo tena swala hili lina uhusiano wa karibu sana na nature.
Apo nimekuelewa mkuu,asante sanaBwana dume kapura
Wanawake Wana matumizi mengi kichizi .. Nsinge ita kuhonga.. Kwa msichana asiye wa mjini
Ili soft kama wengine wakawaida 15,000/=itamuhitaji kwa mwezi, ssabuni, lotion...
Nywele za kawaida za kufumuka wiki mbili 20,000/=na makolokolo
Hakai na Kaptura moja wiki nzima kama wewe.. Anavaa gauni, sketi, blouse, bra, tight, chupi, bikini, boxer, T-shirt, night dress, tops, stokins,.................... N. K
Anavaa vitu vya kawaida, simple, saddles, Raba, heels, ndala,...
Ana Majukumu Kila mwezi na usafi na nguo Zake.....,
we're bado unataka.... Dawa after sexpills ama azuie vingine kisa hupendi condoms,
Ummpe mawazo baada ya kufanya mambo
Yako, awaze Jamii inamchuliaje kimuonekano anavokuja kwako, he unampenda ubaridhika nae, he Anajua, ama unamtamani anae tunzwa? he Minna imeingia? Ikiingia utaikubali? Nknk
Sijataja vingi Sana... Hata awe anapokea shilingi ngapi mshahara wake hauwezi kutosha kamwe.. Pochi, vyakula, kutamani,
Utafiti.. Sex ni ya 14 baada ya gardening kwa mwanamke ila tumetofautiana
Girl in need can not be truly happy
That's why girls sells sex and boys buys it.cause boys needs it more and girls have it more...
Prevent your girl this mess. Take care of her..
Ahaaa hapo nimemuelewaaa vizuri sana.Asipokuelewa atakuwa cio mwnzenu [emoji85] [emoji5] [emoji5]
Kweli pesa ina kazi nyingi mpaka kwenye kugawana utamu bado unataka na hela juuhapna acha kuchocha wenzio .. nani anayeomba game ni wewe? kama napata raha uwe unasubiria na mimi nikombe game ili usinipe pesa.. sasa hapo ndiyo utajua vidole havilingani
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Aaah wasitutishe aisee.
Utamu tunaumiliki wenyewe, kwao tunafuata utelezi tu, ambao hata kwenye soap tunapata....
[emoji16][emoji16][emoji16]