Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 216
jiulize!!!!
nimejiuliza lakini nafikiri you have a very big problem, please tell me, ..........probably, i can help some solution, you will never know...., tell e dont wory!!
jiulize!!!!
nimejiuliza lakini nafikiri you have a very big problem, please tell me, ..........probably, i can help some solution, you will never know...., tell e dont wory!!
Ha ha ha taratibu bibie ndo JF hii...
Wanawaponda wake zao kwa sababu wamewachoka.
Nipo poa bibie si unajua tena leo friday ni kujinafasi kwa kwenda mbele!! maana hizi kazi haziishi!!btw: hw have u been????
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nicheke kwa afya yangu mie yasije nikuta yale ya nguli bure!!!
Nipo poa bibie si unajua tena leo friday ni kujinafasi kwa kwenda mbele!! maana hizi kazi haziishi!!
Hivi mtu unawezaje kumchoka mke wako????
ha ha ha kweli kabsaa mpendwa ila shida ni kujichanganya na watu tofauti ni tabu sana...ila mambo yakikolea mbona hata kilugha chao nalonga tuu teh teh tehraha jipe mwenyewe Kimey wangu ukisubiri mpaka mi nije nikupe unachelewa!!!!
ha ha ha kweli kabsaa mpendwa ila shida ni kujichanganya na watu tofauti ni tabu sana...ila mambo yakikolea mbona hata kilugha chao nalonga tuu teh teh teh
Kweli kabsaa....Ok bibie Enjoy ya weekend!! naona tuliku off topic kidogo!!eventually hayo mbona mbo rahisi especially kwa mtu kama wewe ten aitakuwa fasta!!!!
ahaaaaaaaa inafuraisha nakumbuka niliwai kuangalia picha moja jamaaa alipomchoka mkewe alibadilishana na rafiki yake ili apate raza tofauti,
Uhuru wa kuongea......na inategemea pia uchumi binafsi na suala ni je uchumi wa familia una surplus ya ku allow nyumba ndogo? Ikumbukwe kwamba nyumba ndogo matumizi yake ni makubwa kuliko nyumba kubwa.nyumba ndogo muhimu, asikwambie mtu if you are a really man, you know wat i mean??, yeah pamo-jah.
Uhuru wa kuongea......na inategemea pia uchumi binafsi na suala ni je uchumi wa familia una surplus ya ku allow nyumba ndogo? Ikumbukwe kwamba nyumba ndogo matumizi yake ni makubwa kuliko nyumba kubwa.
Hivyo surplus ya uchumi ni kigezo muhimu katika hili. Haiwezekani watoto hawajaenda shule kwa kukosa ada halafu baba uko street una deal na machangu, itakuwa shame on you!!
G.S
Asante kwa maelezo mazuri
ainuliwe juu aliyekufunulia hayo maana hukuyasema kwa akili zakoTUOMBE REHEMA kwa MUNGU... Kwani tumemkosea sana kwa hilo..
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa baadhi ya wanaume walioa siku hizi wanapowatangoza wanawake huanza kuwaponda wake zao kwa kudai kuwa wake zao ni washamba,hawana mvuto...mara mwingine utasikia mara ohoo yaani simpendi kabisa siku hizi mke wangu,yaani sijui hata kwanini nlimuoa..wengine wanadai oho mke wangi nililazimishwa tu kumuoa ila mimi wala simpendi mimi nakupenda wewe...mwingine utasikia wewe unafana sana na meko wangu ila wewe mzuri zaidi na unaakili zaidi ya mke wangu...
Hii inaweza kusababisha yule unayemtongoza akamdharau mkeo if they will gwt time to meet..au anaweza kumsahau hata kama hamfahamu.
Jamani hivi kwani unapomtongoza mtu ni lazima useme haya?hakuna maeneo mengine mazuri ya kumuapproach huyu mrembo mpaka ummuingize mkeo?
Enyi wanandoa fanyeni yote but have atleast a minimum respect to ur wives..
Wanawake (wake) wenyewe wakiwa wanafikiri kama hivi hata sishangai kwa nini wanadharaulika.