Wanaume tu: ukiwa na demu geto, toa betri kabisa kwenye simu yake

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,460
Demu akiingia tu geto au wee ukienda kwake toa betri kwenye simu yake ya Tach ( smartphone ) yasikukute makubwa
 
Mwanamke akitaka kukurekodi wala hashindwi hata ukitoa betr ya sim yake na kuilalia. Ushawahi pekua mikoba yao??? hakuna kinachokosena. Cha maana chagua kuwa na mwanamke anayejitambua.
 
Kama anatumia zile simu hakuna betri Samsung A3 au iPhone inakuwaje hapo
 
Back
Top Bottom