Umewahi kula demu aliyeachwa na rafiki yake

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,716
Alikuwa ni mtu ambaye ana mke na mtoto mmoja wakati huo nilikuwa nafanya kazi ya kuuza duka,

Sasa ikawa kila mmoja wao ananiletea malalamiko kwa wakati wake,

Mke aliniambia kuwa kamkuta mme chumbani na mschana wa chumba cha jirani,

Na mume akaniambia kamkuta mke wake akiwa kitandani na mwanaume,

Hivo mimi kwasababu sina ushahidi na hayo mambo yao, kila aliyeniletea nilimpa tu ushauri wa kuangalia namna gani ya kumaliza tofauti zao,

Basi baada ya muda kidogo wakawa wametengana, au kuachana kabisa, kwahiyo mimi nikawa nawasiliana nao wote bila shida,

Siku moja nikamtania huyo demu, kuwa mbona yeye ni mzuri sana tu sijui broo ana shida gani,

Mambo yakaanzia hapo hapo mpaka siku akajileta mwenyewe geto,

Nilikuja kuzinguana naye baada ya kunidanganya ana mimba yangu,

Baada ya kugundua hana mambo yakaishia hapo.
 
Back
Top Bottom